Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Kumbe na funza huwa wanasikia ukakasi😂Nilishawahi kuona funza kwenye embe, nikamuona tena kwenye papai, lakini sijawahi muona kwenye limao.
Wakati mwingine kuwa mtamu sana ndiko kunakufanya uliwe.