Hiyo statement huwa mnaitoa wapi? Kuna kipindi kazini kwetu tulikuwa tunatumia boda kumtuma kwenye ofisi mbalimbali, au saa nyingine anakupeleka, cha ajabu baadae anakutafuta anakutongoza! Sasa hapo kujiweka kuna husiana vipi kwamba ulikaa uchi mbele yake au?Mwanamke anaovo jiweka ndivyo tunavyo m-interprete , ukiwa na standards utafwatwa na wenye standard pia .
kwahyo huyo muanzisha mada ni CHEAP hakuna mazoezi wala mwili.
Matokeo yake mkikutana na size zisizo zenu mnakuja hapa kuanika nyuzi kama mnataka kushona nguo, milio kibao!Acha hizo wewe, ile kitu haina utoto wala utu uzima.
Kikubwa kuwe na utelezi na jogoo anawika.🧐
Toa lilokukaba mamchu hebu leta ubuyu leta mambo
Huna adabu ndio
Vigugumizi kibao na anataka mshangaziKulikoni
Unashindwa kutamka jina😂😂
Mjukuu wangu, hakuna oversize, ile ni one size fits all.Matokeo yake mkikutana na size zisizo zenu mnakuja hapa kuanika nyuzi kama mnataka kushona nguo, milio kibao!
Hyo ni minor case na huyo boda pia kafanya hvyo kwasababu ya cheap boundaries ndomana nkasema unavo jiweka ndo tunavyo kutafsiri.Hiyo statement huwa mnaitoa wapi? Kuna kipindi kazini kwetu tulikuwa tunatumia boda kumtuma kwenye ofisi mbalimbali, au saa nyingine anakupeleka, cha ajabu baadae anakutafuta anakutongoza! Sasa hapo kujiweka kuna husiana vipi kwamba ulikaa uchi mbele yake au?
Kuna madogo kibao tu hawanaga adabu ukienda hata kununua kitu dukani baadae linakutongoza!
😂😂😂😂Vigugumizi kibao na anataka mshangazi
Hiyo statement huwa mnaitoa wapi? Kuna kipindi kazini kwetu tulikuwa tunatumia boda kumtuma kwenye ofisi mbalimbali, au saa nyingine anakupeleka, cha ajabu baadae anakutafuta anakutongoza! Sasa hapo kujiweka kuna husiana vipi kwamba ulikaa uchi mbele yake au?
Kuna madogo kibao tu hawanaga adabu ukienda hata kununua kitu dukani baadae linakutongoza!
Huo ni mtazamo wako na hao wanaume unaowasemea ila sio sheria. Kuna watu wapo hivyo hakujui kakuona tu na anakuface, we unatumia vigezo vipi kuona huyo ndio size yangu wakati hakuna mazoea?Hyo ni minor case na huyo boda pia kafanya hvyo kwasababu ya cheap boundaries ndomana nkasema unavo jiweka ndo tunavyo kutafsiri.
Huyo boda kafanya uthubutu kwasababu tayari kuna mazoea kati kati.
Huwezi mparamia mwanamke ELEGANT nadhani wanaume wanaelewa, kwahyo mwanamme mpaka anakujia kasha fanya calculation kafikia jibu kwamba anakuweza.
wanaume tunamove kwenye lane zetu , tunatongoza tunao wamudu na tunao ona ni lahisi kuwafikia.
Hahaha mimi nikajua kila mmoja ana maumbile yake kumbe yanafanana na husemi babu?wangu, hakuna oversize, ile ni one size fits all.
Ukiona mtu analalama sufuria pana sana. Mara mwiko mbembamba sana jua hawana ujuzi wa upishi.
HahahahahaHahaha mimi nikajua kila mmoja ana maumbile yake kumbe yanafanana na husemi babu?
Huyo basi ni expert mkubwa wa kutongoza.Huo ni mtazamo wako na hao wanaume unaowasemea ila sio sheria. Kuna watu wapo hivyo hakujui kakuona tu na anakuface, we unatumia vigezo vipi kuona huyo ndio size yangu wakati hakuna mazoea?
Basi sawaaHuyo basi ni expert mkubwa wa kutongoza.
Obvious wanaume tunatongoza tunao waweza.
Una hamu sweetheart... hahaha...