gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Wasukuma na wanyamwezi ni wamoja,ni watu walewale lakini himaya tofautiHizo himaya ndio zilikuwa nchi na mataifa. Walikuwa na wafalme wao, serikali zao, dola zao na mifumo yao.
Ni vizuri umesema limekopwa kwenye uarabu.
Watemi
Wafumwa,
Mangi,
Na majina mengine leo yangewakilisha neno Mfalme, na kama pangekuwa na maendeelo ya mambo ya utawala na demokrasia haohao wangemaanisha marais.
Ndio maana kwa wamasai wao wanaule ukweli bado kuwa ile ni nchi yao. Na hawajichukulii wao kama kabila.
Rekodi zipo umoja wa mataifa na ndiyo maana watu wa mashariki ya kati huzitumiaKama sensa ya 1958 ilifutwa yote, wewe umejuaje ilisema Waislamu ni 66%?
Huwezi kusema ushahidi wote umefutwa halafu wakati huo huo ujue kwa uhakika kilichokuwa ndani yake.
Hoja ni rahisi: lete ripoti ya sensa, lete kumbukumbu za UN, lete nyaraka. Bila ushahidi ni madai tu.
Historia hujengwa kwa nyaraka, si kwa hisia.
Hiyo ni serikali moja,lakini rais wa Tanzania ana mamlaka Zanzibar,kuna ofisi za muungano na vyombo vyote vya ulinzi na usalama Zanzibar, Zanzibar ikivamiwa imevamiwa Tanzania,watakaopambana ni jwtz
uvamizi kivipi?Tatizo huu si muungano ni UVAMIZI kwa hivyo inakuwa haiwezekani
Iringa siyo Tanganyika?😆🤓😀
Alitaka waungane ili wampige mjerumani na sio ili waunde Tanganyika. Hapakuwa na mpango huo kabisa. Labda kama kuna nyaraka au historia sikuisoma.
Ni kama Nchi za kiarabu zinavyoungana kuikabili Israel isijitanue. Sio kwamba zinaungana kuunda nchi nyingine kubwa zaidi
Ni kweli kwamba bila ukoloni huenda taifa la kisasa la Tanganyika lisingekuwa katika mipaka ileile tunayoijua leo. Hilo wanahistoria wengi wanalikubali.
Lakini si kweli kwamba kuungana kwa jamii mbalimbali kulikuwa jambo lisilowezekana kabisa bila mkoloni.
Kwanza, historia ya Afrika inaonyesha kwamba himaya kubwa ziliundwa na Waafrika wenyewe kabla ya ukoloni. Mfano:
Buganda Kingdom
Oyo Empire
Ethiopian Empire
Mali Empire
Kwa hiyo si sahihi kusema Waafrika hawangeweza kuunda dola kubwa bila Wazungu.
Pili, kabla ya Wajerumani kulikuwa tayari na mitandao ya biashara iliyounganisha pwani, bara, Ziwa Tanganyika, Ziwa Victoria na maeneo ya ndani kupitia Kiswahili, Waarabu, Waswahili, Wanyamwezi na makundi mengine. Kiswahili hakikuanzishwa na wakoloni; kilikuwepo karne nyingi kabla yao.
Tatu, ni kweli kulikuwa na vita kati ya tawala mbalimbali. Lakini hata Ulaya yenyewe ilikuwa imejaa vita kati ya Waingereza, Wafaransa, Wajerumani na Warusi. Hata hivyo baadaye waliunda mataifa makubwa. Vita vya zamani si ushahidi kwamba umoja hauwezekani.
Nne, wakoloni walipinga baadhi ya utambulisho wa jadi kwa sababu ulitishia utawala wao. Lakini utaifa wa Tanganyika uliokuja baadaye haukujengwa na Wajerumani. Ulijengwa zaidi na viongozi wa harakati za uhuru
Hauoni kuwa huu sio muungano ila magumashi ? Kuna haja ya kurekebisha hio katiba.Hiyo ni serikali moja,lakini rais wa Tanzania ana mamlaka Zanzibar,kuna ofisi za muungano na vyombo vyote vya ulinzi na usalama Zanzibar, Zanzibar ikivamiwa imevamiwa Tanzania,watakaopambana ni jwtz
Iringa siyo Tanganyika?
Wasukuma na wanyamwezi ni wamoja,ni watu walewale lakini himaya tofauti
Hoja yako ni kuwa mlima Kilimanjaro haupo Tanzania bali Moshi
Subiri utaona tu wewe muarabu kokoNisubiri kitu gani ? Unavyotiwa bakora joga wewe ? . Yaani Okt29 ulijificha msituni mwezi mzima ukigombana na makima kupata chakula . Nakuona hivyo unavyoandika unatetemeka kwa woga
(1) Julius aliagizwa na mabeberu aiunganishe Zanzibar wakimhofia prof Abdul Rahman Babu(mkomunist) kuibadili zenji kuwa Cuba ya afrika,asingeiunganisha wangeivamia maana melivita zao zilikua jirani tuHauoni kuwa huu sio muungano ila magumashi ? Kuna haja ya kurekebisha hio katiba.
Au nikuulize lengo la huu utapel muungano ilikuwa ni nini?
Kizimkazi
Hizi ni diversion tactics za kenge wa ccm,Hamjambo!
Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano.
Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo?
Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika?
Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo na hayatajwi tajwi kwenye Media.
Na Wafanyabiashara. Wanaohitaji kuunda mfumo mwingine. Huku Muungano ukiwa kizuizi cha mfumo huo mpya.
Wananchi wao sio wanufaika wala sio wapata hasara. Muungano uwepo usiwepo kwao mambo ni yaleyale.
Swali linabaki ni kina nani?
Ijumaa Kareem
Wanyamwezi na wasukuma ni walewale,sukuma maana yake kaskazini,na shinyanga na mwanza zipo kaskazini ya tabora,lugha ni ileile,tamaduni zilezile, vyakula vilevileWanyamwezi na Wasukuma ni himaya(mataifa) mawili tofauti yanayo share baadhi ya mila.
Julius si alipinga muungano wa afrika hadi nkurumah akamwambia tunajua wewe ni kibaraka wa mabeberuNi kama mtu aseme Zanzibar na tanganyika ni walewale.
Au Kenya na Tanzania.
Wewe unafikiri kipi kinazuia Nchi za Afrika zinashindwa kunda nchi moja.
Na kipi kiliwezekana himaya kama wwsukuma, wanyamwezi, wapare waliunganishwa ikaundwa nchi moja ya Tanganyika?
Wanyamwezi na wasukuma ni walewale,sukuma maana yake kaskazini,na shinyanga na mwanza zipo kaskazini ya tabora,lugha ni ileile,tamaduni zilezile, vyakula vilevile
Julius si alipinga muungano wa afrika hadi nkurumah akamwambia tunajua wewe ni kibaraka wa mabeberu
Hizi ni diversion tactics za kenge wa ccm,
Wanataka watu watoke kwenye reli kujadili Hari ngumu ya maisha, nchi inaelekea kufirisika, vikwazo, moto wa, chase ma, Umaarufu wa Lisu,
Wewe muafrika joga umejificha huku JF ngoja Mafwele ajuwe uko wapi , utanyofolewa kordani kijanaSubiri utaona tu wewe muarabu koko
Tatizo ni uelewa wetu kuwa mdogo kiasi ambacho wale wachache wenye uelewa mkubwa wanakimbilia kwenye akili za kibaguzi wakiwadanganya wengi walio gizani bado.Wanaharakati na chadema,umebahatika kuona video ikimuonesha rais wa TLS àkihubiri chuki za utanganyika na uzanzibar akimshutumu ssh kuchukua mali za 'watanganyika' kuipa Zanzibar?..ukristo na wakristo nchi hii ni janga,naqba,nakama,laana.. tangu Julius
Ni kweli kwamba himaya nyingi za zamani zilijengwa juu ya lugha, koo au utambulisho wa karibu.Hizo empire ziliundwa kulingana na asili moja na moja ya utambulisho mkubwa ilikuwa Lugha na koo.
Hizo Nyanwezi, Mali, Zulu, Soghai, Masai, Sukuma, Hehe, zilikuwa Empire.
Kwa zamani mifumo iliyokuwepo kusinguwa na uwezekano Ufalme wa kimasai na Kimeru au Kipare viundw taifa moja. Hilo lisingetokea.
Sasa kama unafahamu wahusika unatuuliza ili tufanyeje? unataka tukutajie sio, acha ukunguru wataje mwenyewe.Hamjambo!
Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano.
Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo?
Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika?
Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo na hayatajwi tajwi kwenye Media.
Na Wafanyabiashara. Wanaohitaji kuunda mfumo mwingine. Huku Muungano ukiwa kizuizi cha mfumo huo mpya.
Wananchi wao sio wanufaika wala sio wapata hasara. Muungano uwepo usiwepo kwao mambo ni yaleyale.
Swali linabaki ni kina nani?
Ijumaa Kareem