Nani yupo nyuma ya vuguvugu la kuvunja Muungano

Waarabu
 
Hapo kwa Rais Samia akili ya kawaida haikubaliani.
Muungano ndiyo umempa Urais na nguvu yake yote ipo hapo.
Haiwezekani pia wazanzibari wote wasiutake.

Alipewa uraisi na watanganyika , Kikwete alimchguwa agombee na watangnyika wakainuka kwa vifijo na kukata viuno kukubali uteuzi au nikuwekee video
 
Weupe wapi tena yaani Mafwele kawa mweupe ??, Waarabu si mlishawaondosha na kuwaweka waafrika ?? By the way huo uongozi wa nchi yenu mliwapa weupe baada kuwaondosha waarabu ??
Waarabu +mazalia hawakufuzwa ila waliuliwa tu ila bado wapo na mbaya zaidi ni watawala sasa hivi ndio walioengineer oct 29 massacre.Mafwele ni mbwa tu ila mazalia ndio wenye mbwa ,sasa basi subirini kisasi chetu sisi waafrika.Na mna hila sana mnataka kuwaua wazanzibar weusi(waafrika) kimya kimya
 
Msitafute mchawi, watu hawataki wenyewe
 
Wananchi wa pande zote hasa wa Zanzibar watanufaika pakubwa sana muungano ukivunjika
 
Hakuna Cha aliyeko nyuma Wala mbele. Zanzibar wanajua athari zaoja kwa moja watakazozipata baada ya kuvunja muungano.

Nb:Wale mawaziri wao walipitiwa tu wasameheni
Zanzibar itanufaika zaidi muungano ukivunjika.
 
hakuna kitu kama hicho mie mbona sijaambiwa na mtu ila sielewi elewi

Wewe sio Mwanasiasa.
Embu toa maoni yako kama Mwananchi. Ni jambo gani kama mwananchi haliendi kutokana na uwepo wa muungano?
 
Umeandika lugha gani yaani waarabu mlishawauwa Sasa Hao waafrika si ndio wanaowatawala? Wewe huna lolote unatoka povu hapa mtandaoni , ukisikia Mafwele kajamba tu mtaani penu unajificha kabatini au chini ya mvungu wa kitanda huku suruali ikiwa imejaa mavi
 
Bila muungano Samia asingekuwa Makamu wa Rais wala Rais.
Huu muungano kwake pekee umemnufaisha na kumuwekea historia ambayo ni heshima kwake
Nyie mnaishi Tanzania ya wapi? Kumbe mambo mengi huyajui
Samia na mwinyi wapo nyuma ya ishu hii ndiyo maana wapo kimya na hautasikia hata sikumoja wanakemea kauli za muungano.
 
Personally Muungano uvunjike, lakini ni Nani yupo nyuma ya hili vuguvugu!? Simple SAMIA NA GENGE LAKE.
Kwanini!? Kuna kila dalili ya Samia kuangushiwa zigo la uchafu wote ambao CCM imeufanya specifically 29/10.Zigo hilo ataangushiwa Samia na baadhi ya washirika wake ambao wengi wao ni WaZanzibar. "Tunachomokaje hapa!? Tuuvunje Muungano tukimbilie kwetu kwa kufanya hivo tutakuwa tumekimbia uwajibikaji kwa dhambi tulizofanya bara". Njia hii haitafanya kazi!.
 
Yaani Kama vile nchi ni mali yake au amerithi kwa babu yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…