Huyu Robert Heriel Mtibeli ni mojawapo ya wahalifu waliopo kwenye listi ya kuwajibishwa kwa kushirikiana na genge la wahalifu.Kuna ushahidi mwingi sana ambao tutauweka hapa ila sio kwa sasa na ushahidi huu unaonyesha asilimia 100 mwenye kutaka kuvunja Muungano ni Samia mwenyewe ndio kiongozi wa haya yote.
1.Mikataba yote alioingia na waarabu ukichingulia kwa undani sio waarabu bali ni yeye mwenyewe hayo makampuni ana share zake na hela nyingi itakuwa inaenda Zanzibar
2. Kila mkataba alioingia na makampuni ya nje kuna asilimia ya malipo yatakuwa yanainufaisha Zanzibar .
3.Mojawapo ya kitegauchumi kikuu ni bandari ya Dar mapato mengi yataenda Zanzibar
4. Kama mnavyojua kwa sasa nafasi zote zile zinazohitaji maamzi zimeshikiliwa na wazenji ili iwe rahisi kufanikisha mikataba fake, mfano mnadhimu mkuu wa JWTZ, yule mama BOT , wizara ya mambo ya nje,Wizara ya fedha na sehemu zingine nyeti ambazo kwa sasa wacha tukae kimya.
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vimeamua kuiuza nchi yetu nzuri tuliobarikiwa na Mungu sijui kwa niniπ’π’π’ ila wakati waja endelea na wewe mda mwingine kuwa mnafiki wa kuiua nchi yako
Maana siku zile 29 octoba uliongoza kwa maandiko ya kukashifu maandano naona umerudi tena kwa kasi endeleeni ila mda upo njiani tutawajibishana
Personally Muungano uvunjike, lakini ni Nani yupo nyuma ya hili vuguvugu!? Simple SAMIA NA GENGE LAKE.
Kwanini!? Kuna kila dalili ya Samia kuangushiwa zigo la uchafu wote ambao CCM imeufanya specifically 29/10.Zigo hilo ataangushiwa Samia na baadhi ya washirika wake ambao wengi wao ni WaZanzibar. "Tunachomokaje hapa!? Tuuvunje Muungano tukimbilie kwetu kwa kufanya hivo tutakuwa tumekimbia uwajibikaji kwa dhambi tulizofanya bara". Njia hii haitafanya kazi!.
Huyu Robert Heriel Mtibeli ni mojawapo ya wahalifu waliopo kwenye listi ya kuwajibishwa kwa kushirikiana na genge la wahalifu.
ππMie hata sielewi, nafata tu mkumbo hata muungano sijui kama upo sasa
Nyie mnaishi Tanzania ya wapi? Kumbe mambo mengi huyajui
Samia na mwinyi wapo nyuma ya ishu hii ndiyo maana wapo kimya na hautasikia hata sikumoja wanakemea kauli za muungano.
Hilo zengwe limetengenezwa muwe mitandaoni na vyombo vingine vya habari,,,
Kwa mujibu wa katiba au sheria ipi ya nchi?Ukishakuwa Kiongozi wa juu wa nchi unakuwa sehemu y wamiliki wa nchi.
Eeeh.. mie nafata tu mahala palipo na makelele mengi, kikubwa isiwe hatarishi usalama wa watu hata huko uikisikia watu fata upepo wanahitaji unitonyeeππ
Umenifurahisha sana.
Hivyo unaangalia upepo unaelekea wapi unaunga telaπ
Mtaweza bills za umeme?Zanzibar itanufaika zaidi muungano ukivunjika.
Eeeh.. mie nafata tu mahala palipo na makelele mengi, kikubwa isiwe hatarishi usalama wa watu hata huko uikisikia watu fata upepo wanahitaji unitonyee
Mtaweza bills za umeme?
Kwa mujibu wa katiba au sheria ipi ya nchi?
ππ heee hata watala na viongozi wa hii nchi wanapenda ongozo watu kama mie tusio na mda wa kufikiri au kuwaza, sie ili mradi tunapumua tuπ€π€ Hatari sana
Bill za umeme kitu kidogo sana,Mtaweza bills za umeme?
Muungano ulifanywa na WanaSIASA kwa sababu za kiSIASA,, sasa unapomuuliza WanaNCHI hutopata jibu lenye faida kwa NCHI zaidI ya SIASA.Wewe sio Mwanasiasa.
Embu toa maoni yako kama Mwananchi. Ni jambo gani kama mwananchi haliendi kutokana na uwepo wa muungano?
Obvious,,,, Muungano ukivunjika dada zetu kazi za hausgel hawatokuwa wakienda mbali..Bill za umeme kitu kidogo sana,
Tanzania inatumia brand ya Zanzibar kimataifa katika utalii,
Muungano ukivunjika Zanzibar itakuwa Dubai ya Africa.
Muungano ulifanywa na WanaSIASA kwa sababu za kiSIASA,, sasa unapomuuliza WanaNCHI hutopata jibu lenye faida kwa NCHI zaidI ya SIASA.
Bill za umeme kitu kidogo sana,
Tanzania inatumia brand ya Zanzibar kimataifa katika utalii,
Muungano ukivunjika Zanzibar itakuwa Dubai ya Africa.