Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,570
😂😂wakishakupa namba wanapima juhudi zako kwenye uwanja wa miamala..
[emoji23][emoji23][emoji16]wakishakupa namba wanapima juhudi zako kwenye uwanja wa miamala..
Jibu limekamilikawakishakupa namba wanapima juhudi zako kwenye uwanja wa miamala..
HakielimuWanauza kisasa zaidi
Kwanza anataka mkutane sehemu ya makulaji na vinywaji kedekede kwa mfuko wako na nauli yako
Siku hizi wanawapanga kama mapimbi siku ya kuwapa utamu baada ya kuona umemhudumia anavyotaka. Ukianza maongzi nae atakuambia kodi inaisha, simu kioo kimepasuka mara charge system, mama anaumwa na ukiwa mbali anaanza kukuambia yeye ndio anaumwa.
Neno la tafakari ya siku; " Hakuna mwanamke asiye na mwanaume ila wapo wanaume wasio na wanawake" Tafakari na uchukue hatua
Kodi, birthday, mama anaumwa n.kwakishakupa namba wanapima juhudi zako kwenye uwanja wa miamala..
Ukipata JIBU muafaka ni tag,Mkuu NAMI utakua umenisaidiaNaomba mbinu takatifu nje na pesa , kwanini mademu wanatoa namba kirahisi sana ila wagumu kuingia box, wanaboa mimi nawatukana nawauliza ulidhani mimi mjomba wako.
Pesa ni ngumu utawala huu wa Hassan, kutoa advance mtihani.
Leteni code mkwamo uko wapi baharia wa Malawi nakwama
Hahahaha,unatuma na anakuja au ndio Ile mnaita kala nauli ?Utaambiwa nakuja kwa heshima tu ila sitakaa sana, mwanangu anaumwa nakuja kwa heshima yako, nami majibu lisaa tu BAO 3 ntakamilisha ntakupa elfu20 ya dawa upite pharmacy 🤣🤣🤣, poa mtume boda anifate
Hahahaha,vipi ukimjibu Sina hela kwenye Simu ,we njoo tu uchukue,atakuja ?Kodi, birthday, mama anaumwa n.k
Hahaha hii Kali sanaNo unapewa ila utaishia ku view status za pochi, mikoba na viatu🚮
Hahahaha 🤣 🤣 🤣Kuns operation nitafanya ya safisha namba ..nafuta zote pumbafu