Naomba kuelezwa ni nani Mwingine zaidi ya Dkt Tulia na David Kafulila amewahi kurejesha Chenji Serikalini?

Ndugu zangu Watanzania,

Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uchawa kazi ngumu.
 
Nimebubujikwa na machozi ndg yangu Moshambwa
 
Hawa chawa siyo wa kawaida
 
Hatua za kisheria huwa zinachukuliwa haraka sana ikiwa ni pamoja na kusimamishwa kazi na kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka.
Toa mfano hata mmoja ambaye amechukuliwa hatua kipindi hiki cha Mama Jemedari wetu?
 
Hata saa mbovu Kuna wakati inapatia muda, Nakubaliana na wewe mtu kurudisha chenji sio jambo rahisi ukizingatia pesa tayari iliwekwa kwenye akaunti.

Mimi sikuwa namfahamu vizuri huyu 2mbili kumbe jamaa anakitu huyu sio bure.
 
Tatizo Tanzania Watu hawako seriou kabisa na ndio maana hatujielewi,

Hoja kama hizi ndio zilipashwa kupewa nguvu zaidi ya kimijadala.

Hivi mtu anawezaje kurudisha chenji baada ya ujenzi kwa BOQ ile ile?

Niwatumishi wangapi wanabakiza chenji ata juzitaja tu kuwa zimebaki hawasemi.

Kwa moyo wangu wa dhati naomba kusema kama Taifa Tulia na Kafulila wawe marole model wetu.

Tujifunze vitu vizuri kutoka kwao.

Mungu mbariki sana Dkt Tulia
Mungu mbariki sana David.
 
Tanzania Watu wake wengi ni hopeless ndio maana wanaweza kujadili zaidi mipira badala ya mambo muhimu kama haya,
Kafulila na Tulia wapewe maua yao h
 
Na wewe umejisahau.Uliwarudishia wateja wako wa maparachichi chenji zao.
 
Kiukweli umeongea hoja nzito sanaa.ndio maana naona kuna kila sababu ya kuwapa ushirikiano na Kuwaunga mkono watu aina ya Mheshimiwa Kafulila
 
Tanzania Watu wake wengi ni hopeless ndio maana wanaweza kujadili zaidi mipira badala ya mambo muhimu kama haya,
Kafulila na Tulia wapewe maua yao h
Taifa hili ukiwa Mzalendo utapigwa vita Kila kona watu wanakuona kama chezi maarifa flani hivi😂😂😂
 
Tanzania Watu wake wengi ni hopeless ndio maana wanaweza kujadili zaidi mipira badala ya mambo muhimu kama haya,
Kafulila na Tulia wapewe maua yao h
Hivi,hii wiki yote mnamjadili Kafulila,and the likes,kuna nini nyuma yake?What's the motive behind?
 
Kiukweli umeongea hoja nzito sanaa.ndio maana naona kuna kila sababu ya kuwapa ushirikiano na Kuwaunga mkono watu aina ya Mheshimiwa Kafulila
Watanzania tunapenda sana vitu vya kishenzi badala ya vitu muhimu kama hivi, Mimi sikuwa nafahamu kama Kuna watu walio hai ambao bado wanauzalendo kupiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…