Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Huyo hawezi kulijibu swali hilo maana naifahamu akili yake ni ndogoMkuu naomba na Mimi nikuulize swali dogo,
MIFUMO YOTE YA SERIKALI NA TARATIBU ULIZOZITAJA ZIMEFANYA KAZI KWA TULIA NA KAFULILA TU? 😂😂
Let's be serious hata kama mtu unamchukia ila hata kimoyomoyo ukubali juhudi zake.