Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #81
Mungu aendelee kuwatetea na kuwalinda wazalendo wetu hawaVIJANA UZALENDO UNALIPA SANA JITAHIDINI KUWA WAAMINIFU PINDI MPATAPO NAFASI ZA KUWAONGOZA WATU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu aendelee kuwatetea na kuwalinda wazalendo wetu hawaVIJANA UZALENDO UNALIPA SANA JITAHIDINI KUWA WAAMINIFU PINDI MPATAPO NAFASI ZA KUWAONGOZA WATU.
Unajua Kafulila na Tulia ukiwaangalia ni kama washamba flani hivi hata kuvaa hawajui kabisa ila Mioyo yao imejaa Utulivu na hawana kiu ya pesa za umma.Mungu aendelee kuwatetea na kuwalinda wazalendo wetu hawa
Mtafungwa.Na kabla hamjafungwa mtachezewa akili mkazitoe mlipozificha na muhonge hadi mpauke nyusi.Kutokurudisha bakaa ni wizi halisi.😂😂😂 Pesa tamu wewe acha kabisa jombaa
Uzalendo wao ndio maana wanaendelea kuaminiwa na kuaminika sana katika mioyo ya watanzaniaUnajua Kafulila na Tulia ukiwaangalia ni kama washamba flani hivi hata kuvaa hawajui kabisa ila Mioyo yao imejaa Utulivu na hawana kiu ya pesa za umma.
Vijana Wazalendo lazima watiwe moyo ili kuibua wengine wapya.
Siyo muda utaanza kububujikwa na machozi kwa uandishi huo wa kihisia/too emotional.😂Uzalendo wao ndio maana wanaendelea kuaminiwa na kuaminika sana katika mioyo ya watanzania
Amekosea sanaKwa hiyo unataka kutwambia ukiondoa hao wawili kwenye serikali ya CCM,wengine wote ni Mafisadi na Majizi kama CAG alivyobainisha?
(Wanakula kwa urefu wa kamba zao)!
Hata kupokea rushwa ni kosa kisheria nadhani unajua hii Serikali inawatumishi zaidi ya 900,000 why Kafulila na Tulia kurudisha bakaa ya BOQ kukamilika?Mtafungwa.Na kabla hamjafungwa mtachezewa akili mkazitoe mlipozificha na muhonge hadi mpauke nyusi.Kutokurudisha bakaa ni wizi halisi.
Je,ni wao tu Tanzania nzima waliorudisha bakaa?Au ni demo kwa wengine wengi tu waliotimiza wajibu wao?Hata kupokea rushwa ni kosa kisheria nadhani unajua hii Serikali inawatumishi zaidi ya 900,000 why Kafulila na Tulia kurudisha bakaa ya BOQ kukamilika?
Nadhani hawa watu wawili Wana kitu Cha ziada hata hivyo.
Hapa tunazungumzia pesa iliyotolewa then ikarudishwa Serikali baada ya Mradi kukamilika with the respective BOQ.Amekosea sana
Pesa zinaokolewa kila siku tena in tunes ya mabilioni
Anachofanya ni kuwatengenezea hao watu ajali za kisiasa tu
Mfano kati ya wengi nadhani itapendeza hapo.Je,ni wao tu Tanzania nzima waliorudisha bakaa?Au ni demo kwa wengine wengi tu waliotimiza wajibu wao?
Misukule imefika mtaani kuiba unga.Huu msukule anaoufuga tulia sijui unafikaje humu JF
Acha bangi zako.Huu msukule anaoufuga tulia sijui unafikaje humu JF
Je,ni wao tu Tanzania nzima waliorudisha bakaa?Au ni demo kwa wengine wengi tu waliotimiza wajibu wao?

Kwanini tusipongeze watu kama hawa?UDAKU SPECIAL
HomeSiasaBunge Labana Matumizi na Kuokoa Bilioni 6.....Rais Magufuli Aagiza Fedha Hizo Zikabidhiwe Kwa Magereza Na JKT Ili Kutengeneza Madawati 120.000
Bunge Labana Matumizi na Kuokoa Bilioni 6.....Rais Magufuli Aagiza Fedha Hizo Zikabidhiwe Kwa Magereza Na JKT Ili Kutengeneza Madawati 120.000
Udaku Special April 11, 2016
PROMOTED CONTENT
Diabetes Will Disappear In 7 Days, Sugar Will Fall To 3.9
GlucoPro
Everyone Who Suffers From Joints Pain Read This
MoviMob
Shida kupoteza tumbo? Makosa 3 unayofanya
Matcha Slim
AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Rais Magufuli ameipongeza ofisi ya Bunge kwa kubana matumizi na kufanikiwa kuokoa shilingi Bilioni 6, ambazo zitatumika kutengeneza madawati ya wanafunzi wa shule na amezitaka ofisi na taasisi nyingine za serikali kuiga mfano huo.
Ameagiza fedha hizo zipelekwe Idara ya Magereza na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili vyombo hivyo vifanye kazi ya kutengeneza madawati yanayotarajiwa kuwa zaidi ya 120,000 ambayo yatasambazwa katika shule ili kukabiliana na tatizo la wanafunzi wanaokaa chini kwa kukosa madawati.
Hundi Kifani ya fedha hizo imekabidhiwa kwa Mheshimiwa Rais na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Akson, ambaye amesema Ofisi ya Bunge imetekeleza wito wa serikali wa kubana matumizi ambapo kiasi hicho cha shilingi Bilioni 6 kimepatikana kwa kipindi kifupi cha takribani nusu mwaka.
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila ametaja maeneo ambayo Bunge limebana matumizi kuwa ni Safari za nje ya nchi, Mafunzo nje ya nchi, Machapisho na ununuzi wa majarida, Shajala, Chakula na Viburudisho, Mtandao, Malazi hotelini, Matibabu ya wabunge na familia zao nje ya nchi, Umeme, Maji, Simu na Uendeshaji wa Mitambo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Anne Kilango Malecela na Katibu Tawala wa Mkoa huo Bw. Abdul Rashid Dachi, kufuatia mkoa huo kutoa taarifa zisizo sahihi kuwa hauna watumishi hewa.
Rais Magufuli ametangaza kutengua uteuzi wa Viongozi hao wa Mkoa wa Shinyanga leo tarehe 11 Aprili, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam, mara baada ya kupokea Taarifa ya Mwaka 2014/2015 ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), na kupokea hundi kifani ya shilingi Bilioni 6 kutoka Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zilizotokana na kubana matumizi.
Dkt. Magufuli ameeleza kuwa baada ya kupata taarifa kuwa Mkoa wa Shinyanga hauna watumishi hewa, aliamua kutuma timu ya ukaguzi iliyokwenda kufanya uchunguzi ambapo hadi kufikia jana tarehe 10 Aprili, 2016 imebaini kuwepo watumishi hewa 45 huku zoezi likiwa linaendelea katika wilaya mbili za Ushetu na Shinyanga Vijijini.
“Na wale wote wa Shinyanga ambao walisemekana ni zero, hakuna mtumishi hewa, walikuwa tayari wameshalipwa shilingi milioni 339.9, nimejiuliza sana, na nikajiuliza sana na kwa kweli nimejiuliza sana na kwa masikitiko makubwa, kwa nini Mkuu wa Mkoa alisema hakuna mtumishi hewa?”Amesisitiza Rais Magufuli
Rais Magufuli amesema baada ya kutengua uteuzi wake, Anne Kilango Malecela atapangiwa kazi nyingine.
Pamoja na hatua hiyo, Dkt. Magufuli ametaka wakuu wa mikoa yote wawafichue watumishi hewa wote ili waondolewe mara moja, na ameagiza timu iliyofanya uchunguzi Mkoani Shinyanga itumike kufanya uchunguzi katika mikoa mingine kwa lengo la kukomesha upotevu mkubwa wa fedha za umma.
Katikati ya Mwezi Machi, 2016 Rais Magufuli aliwaagiza wakuu wa mikoa yote nchini kusimamia zoezi la kuwaondoa watumishi hewa wote katika orodha ya malipo ya mshahara, ambapo mpaka tarehe 31 Machi, 2016 Jumla watumishi hewa 5,507 walibanika.
Kati ya shilingi Bilioni 583 ambazo serikali imekuwa ikitumia kila mwezi kwa ajili kulipa mishahara, kati ya shilingi Bilioni 53 na 54 zimekuwa zikipotea kutokana na kulipa mishahara ya watumishi hewa.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Bangi naacha lakini ukweli wacha usemwe kuwa wewe ni ndondochaAcha bangi zako.
2016?Leo hii imepita miaka mingapi?Kwa nini habari ya Kafulila(siyo wizara yake) na Tulia (na siyo bunge/utumishi wa bunge)zije nyakati hizi?It's very suspicious activity!??????????UDAKU SPECIAL

Hii ndio maana ya uzalendo
UDAKU SPECIAL

Mimi ni mzalendo na msema kweliBangi naacha lakini ukweli wacha usemwe kuwa wewe ni ndondocha