Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kafulila team,wapi masifu na kuabudu?ππππKwanini wewe usiseme pia Makonda, Tulia na wengine wanaojadili wewe unahangaika tu na Kafulila?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafulila team,wapi masifu na kuabudu?ππππKwanini wewe usiseme pia Makonda, Tulia na wengine wanaojadili wewe unahangaika tu na Kafulila?
Hata wewe ukiwa na Uzalendo kwa Taifa watu watakujadili tu utake usitake.Kafulila team,wapi masifu na kuabudu?ππππ
Huelewi maana ya uzalendo.Mimi ni mzalendo na msema kweli na siyo chawa.
Watu wanapenda sana kuwaunga majizi majizi.Taifa hili ukiwa Mzalendo utapigwa vita Kila kona watu wanakuona kama chezi maarifa flani hiviπππ
And,too much is harmful.I repeat,too much might be harmful!Hata wewe ukiwa na Uzalendo kwa Taifa watu watakujadili tu utake usitake.
Sio lazima kutukanana Kila wakati tuwe na wasaa wa ku-appreciate juhudi za wengine kwa uwazi kabisa.
Sio lazima approach iwe ni hiyohiyo ya kukosoa au kusifia Upinzani,Huelewi maana ya uzalendo.
Umewahi hata siku moja kumsifia japo mtu mmoja ambaye anaikosoa Serikali au watawala kwa makosa ya wazi waliofanya watawala au Serikali? Umewahi wewe mwenyewe binafsi kumkosoa hata kiongozi mmoja wa Serikali au CCM aliyefanya makosa dhahiri dhidi ya Taifa?
Mzalendo wa kweli, siku zote husimama na na maslahi ya Taifa, na siyo wewe ambaye siku zote unaimba nyimbo za unafiki kuwasifu watawala kwa ujira wa aibu. Wewe ni ni zaidi ya chawa.
Too much ya nini Jf ni mijadala Kila siku na Mb watu wanazo kwanini wasijadili mambo ya Taifa lao?And,too much is harmful.I repeat,too much might be harmful!
Wewe new member unaijua sana JF?Kuna harufu ya uzandiki hapa.I smell a fish around here.You've got evil intentions!Mmmffff!!Too much ya nini Jf ni mijadala Kila siku na Mb watu wanazo kwanini wasijadili mambo ya Taifa lao?
Wewe nini kinakuumiza?
Kurudisha chenji ni swala gumu sana waliothubutu wapewe maua yao.Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya watanzania. Miongoni mwa watu hao basi ni hawa watu wawili ambao wamewahi ishitua Tanzania na kugusa mioyo ya mamilioni ya watanzania.
Ngoja niwape story bila kuwachosha kuelekea wikendi. Ilikuwa hivi Mheshimiwa Chuma Mwenyewe David Kafulila akiwa katibu Tawala Mkoa wa Songwe alipewa Billion Sita kujenga mpaka kumaliza ujenzi wa Makao makuu ya mkoa wa Songwe yanayopatikana katika kata ya Mlowo Eneo la Nselewa. Lakini Chuma kwa kutumia mfumo wa Force Akaunti katika ujenzi wa Makao makuu hiyo hakumaliza pesa hiyo.
Ambapo mpaka jengo linamalizika na kukamilika Chuma Kafulila akabakisha Chenji ya Karibu Billion Mbili.Siku hiyo anasoma taarifa hiyo mbele ya waziri mkuu mwaka 2020 Ofisi za makao makuu ya mkoa ,watu wote walibaki Midomo wazo na kustaajabu Uzalendo alio uonyesha CHuma Kafulila. Nakumbuka siku hiyo alisoma taarifa hiyo kwa umakini na utulivu wa hali ya juu sana. Na kwa bahati nzuri mimi mwenyewe nilikuwepo siku hiyo na nilikuwa karibu sana eneo la Tukio na nilikuwa nimesimama jirani na Mheshimiwa David Silinde ambaye siku hiyo alipewa nafasi ya kuzungumza pia. Nilikuwa jirani maana nilikuwa ni kiongozi wakati huo kwenye jumuiya ya vijana yaani UVCCM.
Siku hiyo nakumbuka wakati tunarejea majumbani Chuma Kafulila alikuwa ni gumzo sana tena sana midomoni mwa watu ,kwa namna alivyo onyesha uzalendo wa kipekee na uaminifu wa kiwango cha juu sana.
Mwingine ni Dada wa Taifa na Rais wa IPU na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini.huyu sina sababu ya kueleza mengi maana mnakumbuka Billion kadhaa alizorejesha serikalini baada ya kubana matumizi kule Bungeni.
Nimeamua niandike haya kueleza kuwa kuna watu ni waaminifu na wazalendo sana,ambao miongoni mwao ni hawa niliowataja hapa.
Jiulizeni ndugu zangu watanzania ni mara ngapi mmesikia kuwa mradi fulani Umepelekewa mamillioni kwa mamillioni ya pesa, lakini pesa zimekwisha na mradi haujafika hata nusu na hela haieleweki iliko kwenda? Mara ngapi mmesikia miradi kama vile ujenzi wa shule au kituo cha afya au barabara au usambazaji wa maji unakatu umekwama kukamilika kwa kuwa tu mapesa yaliyotolewa yameliwa na kuisha kabla hata mradi haujafika hata Nusu yake? Hamjaona haya wanapofanya ziara mawaziri wetu huko mikoani wakisikitika mpaka wanatamani kulia baada ya kukuta pesa zimeliwa? Hamjaona waziri mkuu wetu akiongea kwa uchungu na kwa huzuni na kuagiza ukaguzi na uchunguzi ufanyike kubaini waliotafuna pesa?
Lakini vyuma hivi Mheshimiwa Dkt Tulia pamoja na David Kafulila vilirejesha Chenji ya mamilioni kwa mamilioni,pesa ambazo wangeamua kuzichepusha kutunisha akaunti zao benki. Lakini kwa uzalendo wao wakasema hapana acha turejeshe pesa hizi ili zikajenge vituo vya afya ,shule, usambazaji wa maji safi na salama,umeme, barabara n.k.
Mwisho niseme tu kuwa mimi ni mzalendo na nimekuwa na tabia ya kutetea na kuwasemea wazalendo wote. Mimi sioni haya wala aibu kumtetea na kumsemea mzalendo bure kabisa pasipo malipo ya aina yoyote ile wala kupewa hata mia tano tu ya Vocha. Nataka Taifa liwe na utamaduni wa kuwaunga mkono wazalendo na wachapakazi wa Taifa letu ,tusiache wakachafuliwa na kushambuliwa na wabaya .ndio maana kuna watu awali wakasema mara nalipwa kwa uchawa ,wengine wakasema nalipwa na Mheshimiwa Dkt Tulia,wengine wakasema Nalipwa na Mwamba Mwenyewe Paul Makonda na sasa wengine wanasema nalipwa na Chuma Kafulila.ila hawasemi nalipwa shilingi ngapi na kwanini nilipwe na kila mtu na na kwa watu wote hao? Na hawasemi kwamba wao wanalipwa na nani kuchafua watu humu jukwaani na mitandaoni.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Chuma Kafulila ni mzalendo kwelikweli wa Taifa letuKurudisha chenji ni swala gumu sana waliothubutu wapewe maua yao.
Au ndio vile Jesca kaona jamaa kama ni zezeta hivi unarudishaje chenji Serikalini? π‘π‘
Kurudisha chenji ni mbinu tu ya kuhitaji/kutegemea kitu mbeleni.Ni usanii.Usizubaishwe na con-men.Utaibiwa.Jiulize,kwa nini iwe leo baada ya muda ndiyo masifu ya urudishaji bakaa usifiwe wiki nzima.And,I count!Waache uplopesa hawa akina Luca na Raffa.I've got you unto the corner!π€£π€£π€£πKurudisha chenji ni swala gumu sana waliothubutu wapewe maua yao.
Au ndio vile Jesca kaona jamaa kama ni zezeta hivi unarudishaje chenji Serikalini? π‘π‘
Mimi nipo kitambo Jf , Hata baada ya kuwa banned nimeibukia huku na kazi iendelee,humu Jf achana na ID jikite kwenye hoja zaidi.Wewe new member unaijua sana JF?Kuna harufu ya uzandiki hapa.I smell a fish around here.You've got evil intentions!Mmmffff!!
Hazikutoshi weweSwali lako haliendani wala kuhusiana na nilichoandika mimi
Sawa pamoja na yote ila Mwanaume unarudiahaje chenji Serikalini?Kurudisha chenji ni mbinu tu ya kuhitaji/kutegemea kitu mbeleni.Ni usanii.Usizubaishwe na con-men.Utaibiwa.Jiulize,kwa nini iwe leo baada ya muda ndiyo masifu ya urudishaji bakaa usifiwe wiki nzima.And,I count!Waache uplopesa hawa akina Luca na Raffa.I've got you unto the corner!π€£π€£π€£π
Wengi wenu inaonekana ni mbumbumbu kabisa wa mifumo ya fedha za umma. Pesa iliyorudishwa, mfahamu kuwa haikuwa kwenye account ya Kafulila au Tulia. Unaposema kuwa eti wasifiwe kwa kurudisha, ni ujinga na upunguani wa kutojua mifumo ya pesa.Tatizo Tanzania Watu hawako seriou kabisa na ndio maana hatujielewi,
Hoja kama hizi ndio zilipashwa kupewa nguvu zaidi ya kimijadala.
Hivi mtu anawezaje kurudisha chenji baada ya ujenzi kwa BOQ ile ile?
Niwatumishi wangapi wanabakiza chenji ata juzitaja tu kuwa zimebaki hawasemi.
Kwa moyo wangu wa dhati naomba kusema kama Taifa Tulia na Kafulila wawe marole model wetu.
Tujifunze vitu vizuri kutoka kwao.
Mungu mbariki sana Dkt Tulia
Mungu mbariki sana David.
Daaah sijui huyu Kafulila anamoyo gani huo?Mimi nipo kitambo Jf , Hata baada ya kuwa banned nimeibukia huku na kazi iendelee,humu Jf achana na ID jikite kwenye hoja zaidi.
Mtu anarushaje chenji na asisifiwe?
Kwa hiyo alirudisha chenji(bakaa)ili ajijenge kisiasa?Kurudisha bakaa unayoiita chenji or whatever,siyo hisani,sifa au muujiza.Ni takwa la kisheria na kihasibu kutoa taarifa ya urali wa kimahesabu unapokuwa mhazini au kupewa mamlaka kifedha na utunzaji.Sasa hizi sifa ninyi mnazitoa wapi?Ninyi ni matapeli pedee/kiuhalisia.Mimi nipo kitambo Jf , Hata baada ya kuwa banned nimeibukia huku na kazi iendelee,humu Jf achana na ID jikite kwenye hoja zaidi.
Mtu anarushaje chenji na asisifiwe?
Hawa ni matapeli wa kisiasa wanaodhani wanawasiliana humu JF na wajingawajinga wa mitaroni huko.Pure political conmen!Wengi wenu inaonekana ni mbumbumbu kabisa wa mifumo ya fedha za umma. Pesa iliyorudishwa, mfahamu kuwa haikuwa kwenye account ya Kafulila au Tulia. Unaposema kuwa eti wasifiwe kwa kurudisha, ni ujinga na upunguani wa kutojua mifumo ya pesa.
Pesa inayopelekwa na Serikali sehemu yoyote ni kutokana na bajeti. Na bajeti haimaanishi ni matumizi bali ni makadirio kutokana na mazingira ya wakati huo.
Baada ya matumizi, pesa inaweza kusalia au kupungua. Ikipungua, itaombwa nyingine, ikibakia unaomba idhini ya kuibadilishia matumizi au inarudishwa hazina mwishoni mwa mwaka wa bajeti ili kusubiri bajeti mpya. Pia ikitokea mathalani bajeti ya mradi ni milioni 500, serikali ikatanguliza milioni 100, halafu baadaye isilete pesa nyingine, na wewe msimamizi wa bajeti unaona hiyo 100m haiwezi kufanya chochote, ni jambo la kawaida kuacha kuitumia pesa hiyo, ukairudisha hazina mwisho wa mwaka wa bajeti, kusubiria bajeti mpya. Na hilo linafanyika kwenye idara zote za Serikali.
Sasa hawa punguani, wanaongea kama vile hiyo pesa ilikuwa kwenye account ya Tulia na Kafulila. Kama haikuwa imetumika, na ipo kwenye account ya Serikali, hata kama siyo waadilifu, mnaamini kuwa walikuwa na uwezo wa kysrma kuwa pesa hiyo itoke kwenye account ya Serikali iingizwe kwenye account ya Kafulila au Tulia?
Kuna vitu watu wanaandika, wakidhihirisha upunguani wao.
Kama mleta mada angekuwa na akili japo kidogo, aheri angewasifia kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa miradi kwenye maeneo husika, siyo kurudisha pesa Serikalini, ambao ni utaratibu wa kawaida kwa ogisi zote za Setikali wakati wa mwisho wa mwaka wa bajeti.
Acheni wivu ewe mtanzat uliojaa msongo wa mawazo.tuwe na moyo wa kuwatia moyo wazalendo wa Taifa letu badala ya kuwakatisha tamaaKurudisha chenji ni mbinu tu ya kuhitaji/kutegemea kitu mbeleni.Ni usanii.Usizubaishwe na con-men.Utaibiwa.Jiulize,kwa nini iwe leo baada ya muda ndiyo masifu ya urudishaji bakaa usifiwe wiki nzima.And,I count!Waache uplopesa hawa akina Luca na Raffa.I've got you unto the corner!π€£π€£π€£π
Mkuu naomba na Mimi nikuulize swali dogo,Wengi wenu inaonekana ni mbumbumbu kabisa wa mifumo ya fedha za umma. Pesa iliyorudishwa, mfahamu kuwa haikuwa kwenye account ya Kafulila au Tulia. Unaposema kuwa eti wasifiwe kwa kurudisha, ni ujinga na upunguani wa kutojua mifumo ya pesa.
Pesa inayopelekwa na Serikali sehemu yoyote ni kutokana na bajeti. Na bajeti haimaanishi ni matumizi bali ni makadirio kutokana na mazingira ya wakati huo.
Baada ya matumizi, pesa inaweza kusalia au kupungua. Ikipungua, itaombwa nyingine, ikibakia unaomba idhini ya kuibadilishia matumizi au inarudishwa hazina mwishoni mwa mwaka wa bajeti ili kusubiri bajeti mpya. Pia ikitokea mathalani bajeti ya mradi ni milioni 500, serikali ikatanguliza milioni 100, halafu baadaye isilete pesa nyingine, na wewe msimamizi wa bajeti unaona hiyo 100m haiwezi kufanya chochote, ni jambo la kawaida kuacha kuitumia pesa hiyo, ukairudisha hazina mwisho wa mwaka wa bajeti, kusubiria bajeti mpya. Na hilo linafanyika kwenye idara zote za Serikali.
Sasa hawa punguani, wanaongea kama vile hiyo pesa ilikuwa kwenye account ya Tulia na Kafulila. Kama haikuwa imetumika, na ipo kwenye account ya Serikali, hata kama siyo waadilifu, mnaamini kuwa walikuwa na uwezo wa kysrma kuwa pesa hiyo itoke kwenye account ya Serikali iingizwe kwenye account ya Kafulila au Tulia?
Kuna vitu watu wanaandika, wakidhihirisha upunguani wao.
Kama mleta mada angekuwa na akili japo kidogo, aheri angewasifia kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa miradi kwenye maeneo husika, siyo kurudisha pesa Serikalini, ambao ni utaratibu wa kawaida kwa ogisi zote za Setikali wakati wa mwisho wa mwaka wa bajeti.