Naomba kuelezwa ni nani Mwingine zaidi ya Dkt Tulia na David Kafulila amewahi kurejesha Chenji Serikalini?

Binadamu wanabadilika Kila siku hivyo acha kukariri tabia ya mtu ya mwaka na mwaka
Mtu anayeweza kubadili jina in full kweli atashindwa kufoji nyaraka zingine za Fedha?
 
Siasa bwana. Yaani huyu kafulila mbona anapata sifa kiasi hiki sasa hivi. Kafulila si wajana wala juzi, lakini why sasa hivi ukiingia JF vichwa vya habari ni Kafulila tu??
Au ni yeue mwenyewe anamiliki account zaid ya kumi akijisifu ionekane ni watu wengine wanamsifu?
Sijakataa kumsifu mtu, lakini akisifiwa muda mfupi kabla ya uchaguzi tunapata na wasiwasi
 
Hapa tunazungumzia pesa iliyotolewa then ikarudishwa Serikali baada ya Mradi kukamilika with the respective BOQ.
Mtaje mtu mmoja mwingine kumsaidia Lucas Mwashambwa
Kwenye taasisi za umma hii ni very common ndugu

Tatizo mmezoea kusikia cag kaleta mabaya tu
 
Mambo ya Lucas Mwashambwa sijui ata kama Kafulila anataarifa na hizi discussion humu.
Lucas akikupenda tu tayari anakuja na Uzi kama mia hivi😂
 
Wengine waliofanya hivyo ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi, walirejesha Fungu kubwa Serikalini ili wapewe sifa na Jiwe huku nusu ya watendaji wake wakiwa hawajalipwa chochote.

Hizo sarakasi kwa Nchi ya Tanzania ni za kawaida mno, kuna Mashirika yalikopa Benki ili kulipa Gawio.

Unapoleta Uchawa wako ni vema ukawauliza wanaokulipa, Tunatambua Juhudi binafsi za Kafulila za kulazimisha Utukufu ili Arudi bungeni na kuna ID 4 hapa JF za mazombie anayoyatumia na kwa sasa umeongezeka wewe.

Hapa JF hakuna Bwege wa kumdanganya kibwege namna hiyo

Sikutaka kuchangia huu uzi kwa sababu ya kujiheshimu kwangu, lakini tukiacha ujinga utamalaki tutakuwa tunakosea sana
 
Kafulila ni Bora kama Makonda na Tulia au unasemaje?
 
Kwani mtu kujipanga kurudi Bungeni Kuna shida?
Nadhani hoja hapa ni Uzalendo au viashiria vya uzalendo hawa watu wanavyo?
 
Acha kukurupuka hapa.sijasema habari za kutokutumia pesa kabisa,bali ni kutumia pesa kwa nidhamu na kujibana na hatimaye kumaliza kazi kwa ubora ule ule unaohitajika na pesa nyingine kubakia kama chenji na kuirudisha serikalini.
Inawezekana vipi kitu cha bilioni 6 kikamilike kwa bilioni 4? Au budget ilizidishwa in the first place?
 
Hivi si tulikubaliana kuwa dada wa Taifa ni mmoja tu? Sasa huyu wa kwako umemtoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…