evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Hata makonda anasoma mastersLeo nilipokuwa nafuatilia shauri la Bw Lissu kulikuwa na shahidi wa Upande wa Serikali alitoa ushahidi kuhusi shtaka la lissu la makosa ya mtandao.
Ningependa kujulishwa yule shahidi ni mtumishi wa Jeshi la Polisi, Mtumishi wa TCRA au ni mtu binafsi.
Halafu kozi yake ya miezi 2 kutoka kwenye hicho chuo cha unit upanga ilikuwa on job training au ndio kozi iliyomsaidia kupata hiyo kazi.
Natanguliza shukrani kwa atayenipa majibu sahihi.
Kusema kweli yule jamaa ushahidi wake sijauelewa kabisa nimebaki na maswali mengi kichwani
ccm karibu wote huwa wanachukua vyeti huwa hawasomi ndo maana wengi wa upande wa sisiemu wanaelimu ya kuungaunga asilimia kubwa jambo ambalo ni nadra kuikuta kwa wapinzaniLeo nilipokuwa nafuatilia shauri la Bw Lissu kulikuwa na shahidi wa Upande wa Serikali alitoa ushahidi kuhusi shtaka la lissu la makosa ya mtandao.
Ningependa kujulishwa yule shahidi ni mtumishi wa Jeshi la Polisi, Mtumishi wa TCRA au ni mtu binafsi.
Halafu kozi yake ya miezi 2 kutoka kwenye hicho chuo cha unit upanga ilikuwa on job training au ndio kozi iliyomsaidia kupata hiyo kazi.
Natanguliza shukrani kwa atayenipa majibu sahihi.
Kusema kweli yule jamaa ushahidi wake sijauelewa kabisa nimebaki na maswali mengi kichwani
Mkuu Fanya kumuelewaLeo nilipokuwa nafuatilia shauri la Bw Lissu kulikuwa na shahidi wa Upande wa Serikali alitoa ushahidi kuhusi shtaka la lissu la makosa ya mtandao.
Ningependa kujulishwa yule shahidi ni mtumishi wa Jeshi la Polisi, Mtumishi wa TCRA au ni mtu binafsi.
Halafu kozi yake ya miezi 2 kutoka kwenye hicho chuo cha unit upanga ilikuwa on job training au ndio kozi iliyomsaidia kupata hiyo kazi.
Natanguliza shukrani kwa atayenipa majibu sahihi.
Kusema kweli yule jamaa ushahidi wake sijauelewa kabisa nimebaki na maswali mengi kichwani
LUTULWITU nadhani comment yake imekupa majibu.Kesi ya kutengeneza, ndio utegemee ushahidi ulio nyooka?.
🤣🤣🤣Afisa doria mtandaoni 🤣, nimekipenda hiko cheo.
OK nilifikiria ni mtu wa tcraMtumishi wa Jeshi la Polisi.
Yaani kumbe kuna jamaa wamepeana vitengo kula Doria huku mtandaoni,kumbe humu tunalindwa? ukizengua tu unakula bun
Kamanda wa polisi mpiga doria. Tena sisi tunaotumia majina halisi ndiyo na virungu tunapigwa kabisa....OK nilifikiria ni mtu wa tcra
Inawezekana nillisoma masters flani udom sasa kwenye graduation tulipewa vitabu vyenye majina ya graduants.Hata makonda anasoma masters
Jerry muro alichukua/ siyo kusoma masters
Nape nauye na Angela kizigha pia wamechukua/ masters siyo kusoma
Doria ziko kila sehemuYaani kumbe kuna jamaa wamepeana vitengo kula Doria huku mtandaoni,
Ila Polisi bana
Yaani hadi nimeshtuka kidogo , sisi wenye ID fake nao tunaweza kufahamika?Kama mpiga doria. Tena sisi tunaotumia majina halisi ndiyo na virungu tunapigwa kabisa....
Unaweza Kuta mitaa ya kupiga doria humu JF huelekezwa na kina johnthebaptist na Lucas Mwashambwa na wenzao kina ChoiceVariable bila ya kumsahau Tlaatlaah kamanda mwenyewe mpiga doria.
Vyeo Vya KihuniAfisa doria mtandaoni 🤣, nimekipenda hiko cheo.
Leo nilipokuwa nafuatilia shauri la Bw Lissu kulikuwa na shahidi wa Upande wa Serikali alitoa ushahidi kuhusi shtaka la lissu la makosa ya mtandao.
Ningependa kujulishwa yule shahidi ni mtumishi wa Jeshi la Polisi, Mtumishi wa TCRA au ni mtu binafsi.
Halafu kozi yake ya miezi 2 kutoka kwenye hicho chuo cha unit upanga ilikuwa on job training au ndio kozi iliyomsaidia kupata hiyo kazi.
Natanguliza shukrani kwa atayenipa majibu sahihi.
Kusema kweli yule jamaa ushahidi wake sijauelewa kabisa nimebaki na maswali mengi kichwa
Wahuni WatupuKama mpiga doria. Tena sisi tunaotumia majina halisi ndiyo na virungu tunapigwa kabisa....