Naomba kufahamishwa kuhusu Afisa Doria Mtandaoni kwenye kesi ya Lissu

Naomba kufahamishwa kuhusu Afisa Doria Mtandaoni kwenye kesi ya Lissu

Ulitaka asome unakojua wewe?
20250612_190153.jpg

 
Sifa mojawapo ya nyie makamanda wapiga doria huwa mnakuwa na matipo Kila mahali.

Iwe Twitter, Whatsapp, YouTube mmetapakaza ID zenu feki!!
sifahamu, sijui wala sihusiki na uadanaganyifu usio na maana kama huo gentleman. siko kwingineko zaid ya JF
 
Mwamba yuko hapa JF anapiga doria na kujaribu kujivika majina matatmu ya Kike na kujibebisha kwa Id zake kadhaa ili kunasa namba za Wanna. Take care
hawa tumekutana nao wengi tu humu hujifanya wanawake, miandiko yao inawaumbua
 
Back
Top Bottom