Naomba kufahamishwa kuhusu Afisa Doria Mtandaoni kwenye kesi ya Lissu

Naomba kufahamishwa kuhusu Afisa Doria Mtandaoni kwenye kesi ya Lissu

Tupe elimu
Umeingia vipi JF ? Unajua management information system? Kumbe wewe NI mtumishi WA umma hata uliingia kwenye UTUMISHI WA UMMA PORTAL email yako ndo hiyo SASA si watakudaka Tu 😁😁😄 mimi mwenzio kila kitu fake?
 
Mwamba yuko hapa JF anapiga doria na kujaribu kujivika majina matatmu ya Kike na kujibebisha kwa Id zake kadhaa ili kunasa namba za Wanna. Take care
Kusema ukweli mwamba kama huyo ukute watu washawaza kumla kimasihara manake vijana wa ricky boy hawana adabu
 
dhana na nadharia potofu kama hizo ni mzigo wa kimaskini sana kwenye mindset yako gentleman
Mizigo ya umaskini tunayobebeshwa na CCM kama tunaweza kuivumilia, hii ya kwetu binafsi tunaishi nayo bila ya shida.

Hizo doria zenu muwe mnasoma meseji Kwa umakini kabla ya kufungua kesi!
 
Kuna kenge mmoja humu yeye kaweka avator picha ya mwanamke na mada zake ni injili injili, ukichunguza sana majibu yake unagundua ni mwanaume na si mwanamke. Wengi humu huumbuliwa na miandiko yao
 
Mizigo ya umaskini tunayobebeshwa na CCM kama tunaweza kuivumilia, hii ya kwetu binafsi tunaishi nayo bila ya shida.

Hizo doria zenu muwe mnasoma meseji Kwa umakini kabla ya kufungua kesi!
uvivu na uoga wako ndio umakini wako gentleman 🐒
 
Leo nilipokuwa nafuatilia shauri la Bw Lissu kulikuwa na shahidi wa Upande wa Serikali alitoa ushahidi kuhusi shtaka la lissu la makosa ya mtandao.

Ningependa kujulishwa yule shahidi ni mtumishi wa Jeshi la Polisi, Mtumishi wa TCRA au ni mtu binafsi.

Halafu kozi yake ya miezi 2 kutoka kwenye hicho chuo cha unit upanga ilikuwa on job training au ndio kozi iliyomsaidia kupata hiyo kazi.
Natanguliza shukrani kwa atayenipa majibu sahihi.

Kusema kweli yule jamaa ushahidi wake sijauelewa kabisa nimebaki na maswali mengi kichwani
Huyo ameajiriwa kusoma mabandiko ya Lissu tu mitandaoni na si vinginevyo.
 
Huyo ameajiriwa kusoma mabandiko ya Lissu tu mitandaoni na si vinginevyo.
Yaani inawezekana manake maelezo yake yanatia shaka jinsi alivyokutana na hiyo clip na yeye eti akaona ni ya uvunjifu wa amani
 
Leo nilipokuwa nafuatilia shauri la Bw Lissu kulikuwa na shahidi wa Upande wa Serikali alitoa ushahidi kuhusi shtaka la lissu la makosa ya mtandao.

Ningependa kujulishwa yule shahidi ni mtumishi wa Jeshi la Polisi, Mtumishi wa TCRA au ni mtu binafsi.

Halafu kozi yake ya miezi 2 kutoka kwenye hicho chuo cha unit upanga ilikuwa on job training au ndio kozi iliyomsaidia kupata hiyo kazi.
Natanguliza shukrani kwa atayenipa majibu sahihi.

Kusema kweli yule jamaa ushahidi wake sijauelewa kabisa nimebaki na maswali mengi kichwani
King'eng'e
A social media patrol officer is a law enforcement professional who monitors and engages with the public on social media platforms, often as part of a broader community policing strategy. They use social media to share information, gather intelligence, respond to public inquiries, and build relationships with the community. This role can involve a variety of tasks, including online crime prevention, community engagement, and even undercover operations

Kindengereko
Afisa wa doria wa mitandao ya kijamii ni mtaalamu wa sheria ambaye anafuatilia na kuwasiliana na umma kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii, mara nyingi kama sehemu ya mkakati mpana wa polisi wa jamii. Wanatumia mitandao ya kijamii kushiriki taarifa, kukusanya taarifa za kijasusi, kujibu maswali ya umma, na kujenga uhusiano na jamii. Jukumu hili linaweza kujumuisha kazi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuzuia uhalifu mtandaoni, ushirikiano wa jamii, na hata operesheni za siri.
 
Mikakati (strategies) zao kujaribu kutengeneza ushahidi na mashahidi wa uongo ili tu kujaribu kumtia hatiani TL ni ushamba mtupu mwanzo mwisho...

Kuanzia kwa hakimu anayesikiliza kesi ya uchochezi, ni wa kubumba, hayuko huru, mwoga na hajiamini. Yupo kwenye payroll la DPP huyu, wako kwenye mkakati mmoja na "wasiojulikana..."

Unaweza kuthibitisha vizuri hili kwa kumwangalia facial expression yake, namna anavyotoa maamuzi yake kwa kusoma. Anaonekana wazi kabisa wako kwenye mkakati mmoja na Jamhuri wa ku - prolong kesi na baadae iishie njiani tu........... THIS IS JUST A WASTAGE OF TIME & RESOURCES

I can easily say that, wameshindwa kumpika shahidi yao vizuri kwenye script waliyompa.

Wakili wa Jamhuri Mr Katuga aliliona hili, ndio akaamua kutumia legal technicalities kumkatisha shahidi wao eti Ili aje shahidi mwingine ku-justify kitaalamu hiyo video flash yao yenye hiyo content inayobishaniwa...

Lakini ukweli ni kuwa, walikuja ku - test mitambo tu kama iko sawa au vipi. Na hii ndio maana walikuwa hawataki mashahidi wajitokeze visually mahakamani....

Hawa, ni kwamba, wanakwenda kupitia upya script yao waone mahali pa kurekebisha ili huyo shahidi mtaalamu wa IT ajaribu kurekebisha makosa ya foundation ya ushahidi wa shahidi anayejiita Inspector John wakati ni UVCCM...

Lakini I am not sure if that is going to work kwa sababu hakuna namna unaweza kuupaka rangi uongo ukageuka kuwa ukweli. Hakuna kundi la watu linaweza kupatana kusema uongo na uongo huo ukawa consistent..

UONGO SIKU ZOTE NI UONGO HATA UUPAKE MALASHI YA CLEOPATRA...!!
 
Leo nilipokuwa nafuatilia shauri la Bw Lissu kulikuwa na shahidi wa Upande wa Serikali alitoa ushahidi kuhusi shtaka la lissu la makosa ya mtandao.

Ningependa kujulishwa yule shahidi ni mtumishi wa Jeshi la Polisi, Mtumishi wa TCRA au ni mtu binafsi.

Halafu kozi yake ya miezi 2 kutoka kwenye hicho chuo cha unit upanga ilikuwa on job training au ndio kozi iliyomsaidia kupata hiyo kazi.
Natanguliza shukrani kwa atayenipa majibu sahihi.

Kusema kweli yule jamaa ushahidi wake sijauelewa kabisa nimebaki na maswali mengi kichwani
Huyo ni mpuuzi tu kama $amia.
 
Back
Top Bottom