Naomba kufahamishwa kuhusu Afisa Doria Mtandaoni kwenye kesi ya Lissu

Hakuna shahidi pale, hii kesi ni ya kutengeneza na ndiyo maana haina mashiko ila serikali wamekomaa na habari za kizushi ili tu kumshikisha adabu Lissu. CCM ni wapuuzi sana.
 
uvivu na uoga wako ndio umakini wako gentleman πŸ’
Kweli kabisa. Siku uoga wangu wa kuandamana ukitoka ndipo nitakapopata viongozi wasioamini kuwa Mimi ni mvivu.

Fursa zipo za kilaghai ila CCM mnaona watu ni wavivu!
 
Kweli kabisa. Siku uoga wangu wa kuandamana ukitoka ndipo nitakapopata viongozi wasioamini kuwa Mimi ni mvivu.

Fursa zipo za kilaghai ila CCM mnaona watu ni wavivu!
ardhi ya kilimo yenye rutuba iko bwerere nchi nzima hakuna haja ya kusingizia wengine gentleman πŸ’
 
ardhi ya kilimo yenye rutuba iko bwerere nchi nzima hakuna haja ya kusingizia wengine gentleman πŸ’
Mawazo ya kizamani ya CCM kudhani Kilimo ni kulima. Kila mtu anaweza kulima lakini siyo kila mtu anaweza kufanya Kilimo.

Tanzania tuna chuo Cha kilimo hatuna chuo cha kulima. CCM inadhani kulima ndiyo kilimo.

Halafu Kilimo siyo adhabu au dampo la kutupia watanzania wanaoshindwa kwingine. CCM mnadhani kila Ardhi iko kwa ajili ya Kilimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…