Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Masinki

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
709
Reaction score
478
Wadau habari za weekend!

Naomba wenyeji ama yeyote mwenye ufahamu na mkoa wa Singida hususani wilaya Singida Dc anifahamishe yafuatayo.

1. Maisha ya pale kwa ujumla eg nyumba za kupanga kiasi gani, chakula, upatikanaji wa maji, hospitali, kabila gani wako pale ambao ni popular.

2. Viwanja vya kupumzikia eg bar, lodge, restaurant na mengineyo.

3. Vyuo na vilipo, tabia na menendo ya watu wa Singida, mitaa!

Na yapi ya kuzingatia mtu awapo Singida, hali ya hewa bila kusahau miiko yao na tamaduni zao.

Wale wa Tabora jiandaeni uzi wenu unakuja.
 
Wenyeji ni wanyiramba na wanyaturu watto wa kike ni gusa unate, wanapenda sana wagen na ni wakarimu sio wagomvi watu wa singida, maisha sio magum ni ya kawaida unaweza kuyaafodi.

Habari ya mwemwe munyapaa, Mpola za mpindi.

Mziza du.

Wadifiya
 
Hospital iko mpya ya rufaa iko mandewa ila gharama zake ziko juu.

Iko ya mkoa Ila foleni ndefu.

Iko ya sokoine pia.

Za private za mjini in tumaini na mzalendo zote ziko mjini.

Nje ya mji iko puma ya misson na makiungu pia hydom Ina hadhi ya rufaa
 
Back
Top Bottom