Naomba kufahamu Madhara ya kupeana talaka baada ya ndoa Kuvunjika

Shetani anapoona Kuna kipawa Fulani ndani ya watoto ni lazima alete roho ya talaka ili wazaz watengane watoto wakose muelekeo ili awaharibu
You got wisdom.. its a fact.. Thank you in advance🙏
 
Mambo yakiwa magumu keep distance kwa faida ya watoto wako mali utafutwa,waachie nyumba na mali viandikishe watoto, then nenda kaanze upya.Hii Ina faida kubwa angalau kuliko ya talaka
 
Mambo yakiwa magumu keep distance kwa faida ya watoto wako mali utafutwa,waachie nyumba na mali viandikishe watoto, then nenda kaanze upya.Hii Ina faida kubwa angalau kuliko ya talaka
Asante mkuu kwa ushauri mzuri... But watoto niliwaandika kwenye mali zote zilizopo canada, am peace with it hata nikiwaachia..
 
Yafaa sana baba na mama waishi pamojaa kwa faida ya afya ya akili ya watoto lakin wakat mwingine inakuwa ngumu sana kuishi na mtu mwenye Tabia ngumu sababu wengi uficha Tabia zao ili wapate ndoa.
 
Yafaa sana baba na mama waishi pamojaa kwa faida ya afya ya akili ya watoto lakin wakat mwingine inakuwa ngumu sana kuishi na mtu mwenye Tabia ngumu sababu wengi uficha Tabia zao ili wapate ndoa.
its a fact..!
 
dah aisee so stress na depressions zitanihusu mkuu?
Sio stress na depression pekee...lazima uwe na tahadhari sana hapo.... Usipokua makini kizazi chako chote kitaanza kuharibika kuanzia hapo.... usiombee kuwa na watoto wenye mama tofauti, labda kama Hauna watoto....
 
Kwani Kuna ulazima wa kumwambia Kaa kimya Hadi utapoona Nafsi imepunguza sononeko Then umwambie kuwa karibu na familiayako sana waonyeshe unawajali na unafurahia uwepo wao nao waone wew ni mtu muhimu sana licha ya kuwa mkosaji
 
Naomba nikuitie alubati akupe mbili tatu kuhusu madhara ya talaka, ila pole sana mkuu..!!
 
Asante mkuu kwa ushauri mzuri... But watoto niliwaandika kwenye mali zote zilizopo canada, am peace with it hata nikiwaachia..
Vizur,ila kabla ujafikia uamuzi wa kuachana muombe ukeep distance yaani ukae pekee yako binafsi hata mji mwingine ili utafakari.Zipo ndoa zinadumu kwa watu kuwa distance.
Unajua migogoro ni ishu ya spirit yaani roho yake na yako Kuna roho nyingine imeeingilia kati kuleta uadui,mfano wanawake wao Huwa wanavamiwa na maroho ya kiburi na kujiinua ( ufeminism) ili kuua iwe roho ya utii,Utii ukishatoweka hakuna ndoa.Labda tu muwe na elimu ya kuifukuza Ile roho ya mafarakano iliyoingia kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…