Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki.

Lililonileta ni kuwa nimekuwa sipendezwi na imani yoyote haswa hizi za dini naona kama uongo na ni mifumo ya watu fulani hapa namanisha Ukristu na madhehebu yake yote naona kama udwanzi na uislam ndo kabisa siulewagi kabisa kwa kifupi siamini kama Mungu yupo(nina ground zangu) na kama yupo hatambui hii mifumo iliyowekwa na makundi ya binadamu(dini) na hana uwezo huo anaosifiwa na dini zote zilizoanzishwa.

Nimegundua kwenye kuifuata dini tunapoteza muda tu na hela mfano mimi huu mwaka wa 5 anaenda kanisani ni wife tu ila hajawahi leta chochote kutoka KANISANI zaidi ya sisi kupeleka vitu kibao include hela zetu(sadaka,zaka na michango mingine) na mavuno zaidi zaidi kuna matawi ya muwese la enzi za kuanza kwa mfungo wa kwa resma na bado hayo matawi alienda nayo yeye likabalikiwa akalileta home pamoja na maji ya baraka.

Changamoto niliyonayo ni kuwa wife kajiunga kwenye jumuia alafu huwa anawapa namba yangu viongozi wa jumuia na nimezinguana nae sana kwa hilo swala kiasi kwamba wananisumbua kwa kuniletea ma bahasha mengi ambayo hata nikitoa siamini kama lolote naongezewa zaidi zaidi naona kama napungukiwa kwa sababu natoa kitu live alafu narudishiwa ahadi ya kubarikiwa ambapo siwezi pima hizo baraka kama zinahusiana na kusali au kutoa kwangu.

OMBI LANGU
Nisaidien mbinu za kukwepa ushiriki wa hizi habari za kusali jumuia au kanisani maana nahisi wameona kuna magari matatu yard kwangu ndio maana wananisakama na ndio maana nikiweka hela ndogo kwenye bahasha wanapanic kuwa "huyu sio wa kuchangia elf 20". Kuna siku walifanya uchaguzi wakanichagua kuwa Mhasibu/Mweka hazina wa parokia na huku kwenye jumuia wakanichagua kuwa katibu wa jumuia nilishangazwa na uchaguzi wao wa kushinda bila kushiriki ikabidi nikatae kwa kisingizio cha muda wangu hautoshi kutokana na nature ya kazi yangu na wakataka kulazimisha sana ila walishindwa.

In short najiuliza nawezaje kuwatoka kistaarabu na wakatambua kuwa mimi sihitaji kuwa mshiriki wa hizi imani maana imani yangu mimi nikufight na maisha na kuinjoy matokeo kwa kuwekeza nguvu na akili chache nilizonazo.Naomba ushauri ili kuepuka kuwakwaza majirani na watu tunaoheshimiana nao wasije ona nimejaa kiburi kumbe mimi nimeona kuwa nawekeza effort za kufungua mlango uliochorwa ukutani.

Jamii kushiriki nayo kwenye mambo mengine nahitaji ila sio haya mambo ya kusali pamoja nipo tayari kama kuna umoja wa kuchangiana au kuwa na kikundi cha kusaidiana kwenye raha na shida ila sio hivi vikundi vya dini vikekaa kinyonyaji sana yaani wanatupa hewa(maombi) sisi tunawapa vitu tangible n valuable.
Hii ni rahisi sana mkuu anza na viongozi wako wa jumuia kuwaeleza huamini katika dini yoyote nao watamfikishia paroko wako na wala hutosumbuliwa tena ila shida ipo kwa mwenzi wako yeye anaendelea kuamini katika ukristo hivyo watakuja kwake tu.
 
Mimi nikimkata jicho mwenyekiti wa jumuiya lazima aharishe hawezi kuniomba hata shilingi kumi.

Wanawachezea wajinga, kwangu hawathubutu.

Kuna siku walijidai wanakuja kusali jumuiya niliwatimua kama panyabuku walisambaratika hovyo. Hawajawahi kurudi.

Jumuiya ya kazi gani? inanisaidia nini?

Cc: Lamomy Extrovert cocastic Maghayo
 
kwenye misiba mingi niliyohudhuria hawa watu wanaojifanya hawajihusishi na hizi jumuia huwa misiba yao inakuwaga pasua kichwa sana wakifa.

maana unakuta hayupo kwenye ushirika wowote na nduguzake wako mkoa mwingine huko.

kanisani hatambuliki wala msikitini hawamjui.

mnachofanya kwa huku mijini majirani na marafiki ndo mnashikana mashati mpate kumzika jamaa fasta yaishe. ila sio siri huwa ni misiba yenye kuungaunga kwingi sana.

mara nyingi hawa wahubiri uchwara wa mitaani ndo huwa wanaokoa jahazi. mnakamata mmoja mnamshikisha kidogo anapiga shoo mnazika adios.
Mna shida sana mnoishi kwa kuangalia jamii itachukuliaje 😭
 
Hata Ushoga ulianza na hoja kama hizi hizi, mwishowe unaanza kuenea kwa Kasi. Hili nalo ni eneo lingine la wanaompinga Mungu linavyoanza.

Hamia Freemason, wanamuabudu Shetani na pesa za kula Bata wanapata.
Shida shetani nae ni kiumbe wa Mungu
 
Chonde chonde usiache kusali ... Binafsi Nina ushahidi na haya mambo ya kiroho...Iko hivyo...Alikuwepo baba yetu mkubwa katika kipindi cha uhai wake alibahatika kupata mtoto ambaye huyo mtoto alizaliwa kwa kutanguliza miguu Kitu ambacho kwetu wanyamwezi na WASUKUMA ni mkosi ..hivyo huyo mtoto alitakiwa kupelekwa kanisani kwa ajili ya kuombewa au kufanyiwa tambiko la kimila...sasa hiyo mzee achagua kufanyiwa tambiko la kimila Afu akatulia...baada miaka kadhaa yule baba akaugua baada miaka kadhaa akafariki...baada ya hapo Ndgu tukajichanga pesa ya kusafirisha maiti Hadi Kutoka Moshi mpaka Tabora.. kitu ambacho wazee walikosea ni kumzika bila kufanya tambiko Wala kiongozi wa kidini isipokuwa baba yetu mdogo aliongoza sala TU baadae watu wakazika...baada muda kidogo kipindi cha masika radi ikawa inapiga kwenye kaburi lake mara kwa mara...baada ya kuulizia mke wake akawambia kuwa walibahatika kupata mtoto kashinje na hawakwenda kanisani Wala kufanya tambiko la kimila...ambapo baba mama na mtoto walitakiwa kufanyiwa au kwenda kanisani...baada ya hapo tulimtafuta padri akaja pale nyumbani wakachimba kidogo na kufanya Ibada ya mazishi upya...tangia hapo ...radi haijawahi kupiga kaburini...
Bwana yesu asifiwe...
Havifanani hivyo vitu
 
Attachments

  • FB_IMG_1717873383092.jpg
    FB_IMG_1717873383092.jpg
    141 KB · Views: 2
Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki.

Lililonileta ni kuwa nimekuwa sipendezwi na imani yoyote haswa hizi za dini naona kama uongo na ni mifumo ya watu fulani hapa namanisha Ukristu na madhehebu yake yote naona kama udwanzi na uislam ndo kabisa siulewagi kabisa kwa kifupi siamini kama Mungu yupo(nina ground zangu) na kama yupo hatambui hii mifumo iliyowekwa na makundi ya binadamu(dini) na hana uwezo huo anaosifiwa na dini zote zilizoanzishwa.

Nimegundua kwenye kuifuata dini tunapoteza muda tu na hela mfano mimi huu mwaka wa 5 anaenda kanisani ni wife tu ila hajawahi leta chochote kutoka KANISANI zaidi ya sisi kupeleka vitu kibao include hela zetu(sadaka,zaka na michango mingine) na mavuno zaidi zaidi kuna matawi ya muwese la enzi za kuanza kwa mfungo wa kwa resma na bado hayo matawi alienda nayo yeye likabalikiwa akalileta home pamoja na maji ya baraka.

Changamoto niliyonayo ni kuwa wife kajiunga kwenye jumuia alafu huwa anawapa namba yangu viongozi wa jumuia na nimezinguana nae sana kwa hilo swala kiasi kwamba wananisumbua kwa kuniletea ma bahasha mengi ambayo hata nikitoa siamini kama lolote naongezewa zaidi zaidi naona kama napungukiwa kwa sababu natoa kitu live alafu narudishiwa ahadi ya kubarikiwa ambapo siwezi pima hizo baraka kama zinahusiana na kusali au kutoa kwangu.

OMBI LANGU
Nisaidien mbinu za kukwepa ushiriki wa hizi habari za kusali jumuia au kanisani maana nahisi wameona kuna magari matatu yard kwangu ndio maana wananisakama na ndio maana nikiweka hela ndogo kwenye bahasha wanapanic kuwa "huyu sio wa kuchangia elf 20". Kuna siku walifanya uchaguzi wakanichagua kuwa Mhasibu/Mweka hazina wa parokia na huku kwenye jumuia wakanichagua kuwa katibu wa jumuia nilishangazwa na uchaguzi wao wa kushinda bila kushiriki ikabidi nikatae kwa kisingizio cha muda wangu hautoshi kutokana na nature ya kazi yangu na wakataka kulazimisha sana ila walishindwa.

In short najiuliza nawezaje kuwatoka kistaarabu na wakatambua kuwa mimi sihitaji kuwa mshiriki wa hizi imani maana imani yangu mimi nikufight na maisha na kuinjoy matokeo kwa kuwekeza nguvu na akili chache nilizonazo.Naomba ushauri ili kuepuka kuwakwaza majirani na watu tunaoheshimiana nao wasije ona nimejaa kiburi kumbe mimi nimeona kuwa nawekeza effort za kufungua mlango uliochorwa ukutani.

Jamii kushiriki nayo kwenye mambo mengine nahitaji ila sio haya mambo ya kusali pamoja nipo tayari kama kuna umoja wa kuchangiana au kuwa na kikundi cha kusaidiana kwenye raha na shida ila sio hivi vikundi vya dini vikekaa kinyonyaji sana yaani wanatupa hewa(maombi) sisi tunawapa vitu tangible n valuable.
Hama dhehebu
 
Aisee umenishangaza kweli kweli. Eneo nililozawali mimi wakazi wake karibu wote ni wakatoliki. Kuna wazee wengi tu hawaendi kanisani na wala hawajishughulishi na mambo ya jumuia. Na kila mtu alishawajua. Hawakanyagi kanisani ng'o, hawatoi mchango wowote na wala hawashiriki kwenye lolote. Kwa kifupi wanaitwa wapagani. Sasa wewe kinakushinda nini? Dunia hii ukiogopa kufanya jambo eti binadamu wengine watafikiria vile... unaweza kujikuta unakwama kwenye mambo mengi.
Kuogopa watu watakuonaje ni janga la kitaifa. Mimi toka nijue wabongo wengi ni wanafiki, huwa sijali mtu ananionaje na maamuzi yangu. Naishi maisha yangu bila kufuata mkumbo.
 
Yes mkuu na jiran alikuwa rc akachana na jumuiya alipokufa waliwauliza viongozi wa jumuiya akajibiwa alijitoa padre akagoma tukaenda kutaftaa mlokole akameza 50000 yake akasalisha tukazika
Nashangaa watu eti wanakataa kuzika mfu, kazi kweli. Hivi ile ya samehe mara sabini inatumikaga wapi? Usihukukumu n.k. ila wakuzika wapo kibao tu, wengine wanaona neema kuzika .
 
Back
Top Bottom