Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

Mara ngapi tunaona watoto wa wachungaji ndio mateja au vibaka Hakuna formula mimi watoto wangu nawafundisha LIFE MANNERS
 
Dini ni aina ya utapeli uliohalishwa na serikali za ulimwengu ili kupumbaza wanadamu.
Mimi niliamua kuwa muamuzi wa mwisho ninayeamua nitaishi vipi maisha yangu bila kujipa pressure za 'watanionaje', nilipo achana rasmi na mambo ya kwenda kanisani sikuhitaji kujielezea sana haswa kwa mama yangu maana yeye ni mfuasi mzuri wa hayo mambo hususani jumuiya. Alikuwa ananiambia siku nikifa padre hatokuja msibani mimi jibu langu lilikua ni moja tu kwamba nikifa huo ndio mwisho wangu yaliyobakia ni yenu mkiamua nizikwe na manispaa, mchungaji, sheikh au paroko ni nyinyi tu
 
😂😂😂😂 kweli umeamua kwenda motoni
 
Kuna siku nilienda home wazee wamepata gawio Kila muumini 300K wako wawili jumla 600k kuna mradi wa ujenzi niliwasikitikia Sana jinsi wananyonywa nikawaeleza hawaelewi wanasema Sisi tutatoa Tu wakila shauri Yao
Kuanzia siku hiyo sitoi tena cash nyumbani
 
Hukulelewa vizuri kwenye hio familia ya RC wew umekua unakuta tuu ni wa RC alielewa kwa misingi ya dini hayuko kama wewe
 
Mungu hakuleta dini! Mungu alileta ushirika na binadamu wa moja kwa moja! Wokovu ndo njia sahihi ila na walokole wametengeneza dini iliyojaa ujinga na kukosa busara wala hawana hekima wala hawana kiasi! Ni vurugu! Hila wokovu ndio sahihi! Narudia! Dini ni ovu!
 
Pipa na mfuniko
 
Ulikosea SANA KUKATAA NAFASI YA UHASIBU.
YAANI UMETANGULIWA 2 GOALS,UMEPEWA NAFASI YA KUZAWAZISHA KWA KUZAWADIWA PENALTY HALAFU UKAWEKA MPIRA KWAPANI NA KWENDA NJE YA UWANJA?

UNGELI RUDISHA FEDHA ZAKO KWA KASI MPAKA UKAONDOLEWA NA HAPA USINGELI ONA HIZO BAHASHA TENA ZIKIJA HAPO KWAKO.

MSAADA KAMA ULIVYOOMBA.
USIJIBU HATA KWA ISHARA HOJA ZAO HALAFU BAADAE NAO WATAIGA MWENENDO WAKO NA KUWA KIMYA.
 
Ningechafua jina langu hata hivyo sina dhiki za kuanza kuiba hela za waumini wasio na hatia waache wale wao
 
Acha kumtisha ntuu wewe din zote biashara Acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…