mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Ibada haitokuwepo labda wale wa Voda fasta na uwe na mpunga wa kuwalipaNina vyama vya kufa na kuzikana kazini na mtaani wanajumuia nao pia ni members kwenye hivyo vyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ibada haitokuwepo labda wale wa Voda fasta na uwe na mpunga wa kuwalipaNina vyama vya kufa na kuzikana kazini na mtaani wanajumuia nao pia ni members kwenye hivyo vyama
Siku hayo magari yakiondoka na pesa nayo ikaondoka utawatafuta watumishi wa Mungu kwa bidii. Pia ukizeeka ndio utaanza kumtafuta Mungu. Na ukifa ndio utaanza kwenda kanisani na kwenye jumuiya ili uzikwe na Kanisa.Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki.
Lililonileta ni kuwa nimekuwa sipendezwi na imani yoyote haswa hizi za dini naona kama uongo na ni mifumo ya watu fulani hapa namanisha Ukristu na madhehebu yake yote naona kama udwanzi na uislam ndo kabisa siulewagi kabisa kwa kifupi siamini kama Mungu yupo(nina ground zangu) na kama yupo hatambui hii mifumo iliyowekwa na makundi ya binadamu(dini) na hana uwezo huo anaosifiwa na dini zote zilizoanzishwa.
Nimegundua kwenye kuifuata dini tunapoteza muda tu na hela mfano mimi huu mwaka wa 5 anaenda kanisani ni wife tu ila hajawahi leta chochote kutoka KANISANI zaidi ya sisi kupeleka vitu kibao include hela zetu(sadaka,zaka na michango mingine) na mavuno zaidi zaidi kuna matawi ya muwese la enzi za kuanza kwa mfungo wa kwa resma na bado hayo matawi alienda nayo yeye likabalikiwa akalileta home pamoja na maji ya baraka.
Changamoto niliyonayo ni kuwa wife kajiunga kwenye jumuia alafu huwa anawapa namba yangu viongozi wa jumuia na nimezinguana nae sana kwa hilo swala kiasi kwamba wananisumbua kwa kuniletea ma bahasha mengi ambayo hata nikitoa siamini kama lolote naongezewa zaidi zaidi naona kama napungukiwa kwa sababu natoa kitu live alafu narudishiwa ahadi ya kubarikiwa ambapo siwezi pima hizo baraka kama zinahusiana na kusali au kutoa kwangu.
OMBI LANGU
Nisaidien mbinu za kukwepa ushiriki wa hizi habari za kusali jumuia au kanisani maana nahisi wameona kuna magari matatu yard kwangu ndio maana wananisakama na ndio maana nikiweka hela ndogo kwenye bahasha wanapanic kuwa "huyu sio wa kuchangia elf 20". Kuna siku walifanya uchaguzi wakanichagua kuwa Mhasibu/Mweka hazina wa parokia na huku kwenye jumuia wakanichagua kuwa katibu wa jumuia nilishangazwa na uchaguzi wao wa kushinda bila kushiriki ikabidi nikatae kwa kisingizio cha muda wangu hautoshi kutokana na nature ya kazi yangu na wakataka kulazimisha sana ila walishindwa.
In short najiuliza nawezaje kuwatoka kistaarabu na wakatambua kuwa mimi sihitaji kuwa mshiriki wa hizi imani maana imani yangu mimi nikufight na maisha na kuinjoy matokeo kwa kuwekeza nguvu na akili chache nilizonazo.Naomba ushauri ili kuepuka kuwakwaza majirani na watu tunaoheshimiana nao wasije ona nimejaa kiburi kumbe mimi nimeona kuwa nawekeza effort za kufungua mlango uliochorwa ukutani.
Jamii kushiriki nayo kwenye mambo mengine nahitaji ila sio haya mambo ya kusali pamoja nipo tayari kama kuna umoja wa kuchangiana au kuwa na kikundi cha kusaidiana kwenye raha na shida ila sio hivi vikundi vya dini vikekaa kinyonyaji sana yaani wanatupa hewa(maombi) sisi tunawapa vitu tangible n valuable.
Siobwachoyo kwenye nini mkuu ??😂 katibu unakataa ukatibu wakati kuna watu wanajisifu hata kusoma neno pale mbele na wamewekeana zamu!, ila haka ka dunia katamu sana mi nimekapenda na nilichokipendea ni kitu kimoja waumini sio wachoyo!..😂
Umeiweka vizuri sana mkuuHuyo mke wako qanaweza kupitia kwake wakakuharibia maisha yako na wakakukomoa. Kufuata chochote cha kiimani inahitaji uhuru kamili wa mtu sio kumuwekea mazingira ya kumkokota kama Mkokoteni. Mungu Mwenyewe anataka watu wanaomwendea kwa Utashi na uamuzi wao kwa asilimia mia sio mambo ya kumanipulate watu kipsychologia.
Hao makasisi na watawa wanafahamu ilo ila wanafanya makusudi. Kunajaa waumini mikokoteni.
Kingine, mke anatakiwa amtii mumewe kama vile anavyo mtii kristo sio padri yaan kama anavyotakiwa kumtii Bwana ake padri. Sasa kama yeye amekuwa mkereketwa mwambie asikuhusishe. Wala kushiriki mbinu zao chafu juu yako atakuwa amevunja agizo la utii na ww ukiamua kuvunja la kumpenda kama kristo apendavyo kanisa lake ataishia wapi?
Jumuiya s kila asubuh sasa we toka iyo asubuh rud muda ukishaisha kila jmos awawez sali nje kwako nawe haupoNirudi lini?
Izo hela na hayo magari watayala kirahisi sana siku ukiwa haupo hapa DunianiMimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki.
Lililonileta ni kuwa nimekuwa sipendezwi na imani yoyote haswa hizi za dini naona kama uongo na ni mifumo ya watu fulani hapa namanisha Ukristu na madhehebu yake yote naona kama udwanzi na uislam ndo kabisa siulewagi kabisa kwa kifupi siamini kama Mungu yupo(nina ground zangu) na kama yupo hatambui hii mifumo iliyowekwa na makundi ya binadamu(dini) na hana uwezo huo anaosifiwa na dini zote zilizoanzishwa.
Nimegundua kwenye kuifuata dini tunapoteza muda tu na hela mfano mimi huu mwaka wa 5 anaenda kanisani ni wife tu ila hajawahi leta chochote kutoka KANISANI zaidi ya sisi kupeleka vitu kibao include hela zetu(sadaka,zaka na michango mingine) na mavuno zaidi zaidi kuna matawi ya muwese la enzi za kuanza kwa mfungo wa kwa resma na bado hayo matawi alienda nayo yeye likabalikiwa akalileta home pamoja na maji ya baraka.
Changamoto niliyonayo ni kuwa wife kajiunga kwenye jumuia alafu huwa anawapa namba yangu viongozi wa jumuia na nimezinguana nae sana kwa hilo swala kiasi kwamba wananisumbua kwa kuniletea ma bahasha mengi ambayo hata nikitoa siamini kama lolote naongezewa zaidi zaidi naona kama napungukiwa kwa sababu natoa kitu live alafu narudishiwa ahadi ya kubarikiwa ambapo siwezi pima hizo baraka kama zinahusiana na kusali au kutoa kwangu.
OMBI LANGU
Nisaidien mbinu za kukwepa ushiriki wa hizi habari za kusali jumuia au kanisani maana nahisi wameona kuna magari matatu yard kwangu ndio maana wananisakama na ndio maana nikiweka hela ndogo kwenye bahasha wanapanic kuwa "huyu sio wa kuchangia elf 20". Kuna siku walifanya uchaguzi wakanichagua kuwa Mhasibu/Mweka hazina wa parokia na huku kwenye jumuia wakanichagua kuwa katibu wa jumuia nilishangazwa na uchaguzi wao wa kushinda bila kushiriki ikabidi nikatae kwa kisingizio cha muda wangu hautoshi kutokana na nature ya kazi yangu na wakataka kulazimisha sana ila walishindwa.
In short najiuliza nawezaje kuwatoka kistaarabu na wakatambua kuwa mimi sihitaji kuwa mshiriki wa hizi imani maana imani yangu mimi nikufight na maisha na kuinjoy matokeo kwa kuwekeza nguvu na akili chache nilizonazo.Naomba ushauri ili kuepuka kuwakwaza majirani na watu tunaoheshimiana nao wasije ona nimejaa kiburi kumbe mimi nimeona kuwa nawekeza effort za kufungua mlango uliochorwa ukutani.
Jamii kushiriki nayo kwenye mambo mengine nahitaji ila sio haya mambo ya kusali pamoja nipo tayari kama kuna umoja wa kuchangiana au kuwa na kikundi cha kusaidiana kwenye raha na shida ila sio hivi vikundi vya dini vikekaa kinyonyaji sana yaani wanatupa hewa(maombi) sisi tunawapa vitu tangible n valuable.
Wakunjie uso. Watu kama hao ukiwachekea wanaona kuna siku utabadilisha mawazo.Hujanielewa wife ndiye ananirudisha nyuma kwa sababu anawaomba msaada kuwa mimi nimeingiliwa na shetani so wanakuwa na matumaini na mimi
Yesu alipo kufa alizikwa simple sana gharama kidogo sana mtu akifa atazikwa tuNisipo zikwa nawanukia watanifukia na hapo watakuwa wamenizika
Sio wachoyo wa nini fafanua[emoji23] katibu unakataa ukatibu wakati kuna watu wanajisifu hata kusoma neno pale mbele na wamewekeana zamu!, ila haka ka dunia katamu sana mi nimekapenda na nilichokipendea ni kitu kimoja waumini sio wachoyo!..[emoji23]
Kinachonirudisha nyuma sio unafiki wangu kama unavyosema bali wife anawaomba msaada kuwa mimi nimeyumba kiimani hivyo natakiwa nirudi kundiniWe skiza fanya hivi mtafute pembeni kiongozi mmoja wa jumuiya umuelezee kinagaubaga nia yako hii ya kujitoa na kuwa wasije malangoni kwako,
fullstop.
Trust me HAKUNA ATAKAYEHANGAIKA NAWEWE MILELE.
wewe kinachokusumbua ni unafiki HAUJAWA MUWAZI na si ajabu hata uko jumuia pengine huwa unahudhuria ndomaana wenzio wanajua mpo pamoja.
Navojua mimi katika madhehebu yaliyo mengi RC KUBEMBELEZA mtu NI MWIKO yaani HAIPO HATA siku moja
Maelezo mengi wala huna gari hata moja. Labda una midoli ya magari. Mkatoliki wa kweli hawezi kuja huku sababu ya michango ya zaka na sadaka.Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki.