Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Waliobaki katika familia ndio husumbuliwa, ukishakuwa maiti hakuna ishu tena ya msingi.Kuna maiti ambayo hawakuizika kwa sababu kama zangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliobaki katika familia ndio husumbuliwa, ukishakuwa maiti hakuna ishu tena ya msingi.Kuna maiti ambayo hawakuizika kwa sababu kama zangu?
Kuna watu wameshikiwa akiliKwa hyo watu mnatishiwa kifo mpaka mnakaa!!! Ahahahaha kweli wamewaweza.
Kwa hyo watu mnaenda kansan kisa mtazikwa mkifa??
Mara ngapi tunaona watoto wa wachungaji ndio mateja au vibaka Hakuna formula mimi watoto wangu nawafundisha LIFE MANNERSUsiinyime familia yako imani ya kikrsto
Unaweza wewe usiwe active ila hakikisha mke na watoto wako wanakuwa wakrsto safi
La sivyo watoto wako watageuka majambazi uko mbele na watakuletea wajukuu majambaza
Ukrsto ni ustaarabu wa maisha ya kibnadamu
Mungu yupo au hayupo ni nje ya fikara zetu
Lkn ni vizuri kuamini Mungu yupo
Nafsi zetu zina uungu ndani mwetu
Chunguza mwenendo wako
Chunguza matendo yako
Safisha nafsi yako
Utamwona Mungu
hivi na wewe shuleni ulienda kusomea ujinga au?Ukifa utajizika na mengineyo kama hayo
😂😂😂😂 kweli umeamua kwenda motoniWe kenge unaemuabudu Mungu amelufanyia nini ambacho unaweza ukajitokeza kujidai kuwa alikupa Mungu.Kuna watu kibao wanamuabudu Mungu na wanatoa hadi hela zao za kibindoni na wanagongwa njaa na dhiki kama kawaida.
Africa tuna akili nyeusi kama ngozi za ..... yaani tumeletewa Dini tumezishupalia kuliko hata waliozitengeneza tukaacha Miungu yetu ambyo ni culture yetu tukaaminishwa ni ushirikina ama kweli ukiwa huna akili unaweza ukatupa dhahabu na ukaokota jiwe
😂😂😂😂 Mlokole kachukua fungu la kumiYes mkuu na jiran alikuwa rc akachana na jumuiya alipokufa waliwauliza viongozi wa jumuiya akajibiwa alijitoa padre akagoma tukaenda kutaftaa mlokole akameza 50000 yake akasalisha tukazika
Tuma video ya ngono kwenye group la Jumuia na kanisa.
Mungu hakuleta dini! Mungu alileta ushirika na binadamu wa moja kwa moja! Wokovu ndo njia sahihi ila na walokole wametengeneza dini iliyojaa ujinga na kukosa busara wala hawana hekima wala hawana kiasi! Ni vurugu! Hila wokovu ndio sahihi! Narudia! Dini ni ovu!Usiinyime familia yako imani ya kikrsto
Unaweza wewe usiwe active ila hakikisha mke na watoto wako wanakuwa wakrsto safi
La sivyo watoto wako watageuka majambazi uko mbele na watakuletea wajukuu majambaza
Ukrsto ni ustaarabu wa maisha ya kibnadamu
Mungu yupo au hayupo ni nje ya fikara zetu
Lkn ni vizuri kuamini Mungu yupo
Nafsi zetu zina uungu ndani mwetu
Chunguza mwenendo wako
Chunguza matendo yako
Safisha nafsi yako
Utamwona Mungu
Pipa na mfunikoSasa hapo unaanza kufunguka! Believe me or not I don't care! Hizi dini zoote kwa majina yake nyuma yake hiko roho inayokamata fahamu na kuamini unamtumikia Mungu lakini kiundani unatumikia taasisi za kinyonyaji za kibepari na kibwenyenye zilizojenga mtandao na kufungamana na nguvu za giza! Kama wewe ni wa hiyo dini kama ulivyosema na hiyo dini ndo iliyokufungisha ndoa umefungamana na madhabahu ya hiyo dini na hiyo roho ukitaka kuihasi lazima uhadhibiwe na mwisho watasema "unaona? Mungu kaanza kumpiga"! Broh! Kuna njia moja tu ya kukimbia dini nayo kuokoka! Just you and your faith in Jesus Christ! You don't even need to go to divinity churches! Unaweza kuvuta nguvu za Mungu ukiomba na kusikiliza mafundisho sahihi na kusimama kivyako na ukatoboa bila kutishwa na kupigwa na maroho ya mashetani yaliyomo kwenye dini! Maroho ya dini yana nguvu kuliko wachawi!
Ningechafua jina langu hata hivyo sina dhiki za kuanza kuiba hela za waumini wasio na hatia waache wale waoUlikosea SANA KUKATAA NAFASI YA UHASIBU.
YAANI UMETANGULIWA 2 GOALS,UMEPEWA NAFASI YA KUZAWAZISHA KWA KUZAWADIWA PENALTY HALAFU UKAWEKA MPIRA KWAPANI NA KWENDA NJE YA UWANJA?
UNGELI RUDISHA FEDHA ZAKO KWA KASI MPAKA UKAONDOLEWA NA HAPA USINGELI ONA HIZO BAHASHA TENA ZIKIJA HAPO KWAKO.
MSAADA KAMA ULIVYOOMBA.
USIJIBU HATA KWA ISHARA HOJA ZAO HALAFU BAADAE NAO WATAIGA MWENENDO WAKO NA KUWA KIMYA.
Zile siyo za waumini bali ni za wanaowaibia waumini tena wakati mwingine kwa kuwapatia bahasha.Ni
Ngechafua jina langu hata hivyo sina dhiki za kuanza kuiba hela za waumini wasio na hatia waache wale wao
Ulishawahi kufa ukaelewa🤣🤣🤣SUBIRI UFE UTAWAELEWA KAA HIVYOHIVYO USIENDE
Acha kumtisha ntuu wewe din zote biashara Acha ujingaSiku hayo magari yakiondoka na pesa nayo ikaondoka utawatafuta watumishi wa Mungu kwa bidii. Pia ukizeeka ndio utaanza kumtafuta Mungu. Na ukifa ndio utaanza kwenda kanisani na kwenye jumuiya ili uzikwe na Kanisa.
Mungu yupo, tofautisha ubabaishaji wa wanadamu na uaminifu wa Mungu. Sapoti Kanisa lako kuna faida za kuwa mwanachama huko ila angalia pia usibaki kwenye mambo ya kidini tu, faidi nguvu za Yesu na mambo yake mazuri kama ulinzi na mengi mengine. Jifunze zaidi MAARIFA YA KIROHO, usibaki kwenye mazoea ya dini pekee, yanaua!