Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?
BAKWATA Wapo affiliated na CCM. Shekhe mkuu mufti hulindwa na TISS. Nyumbani kwake kuna JWTZ wanalinda na mitutu ya bunduki.Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?
gentleman,Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?
Kwan hujui bakwata ni system mzee? Hujui kuwa bakwata ni usalama?Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?
System ya Bakwata ukiipiga ubwabwa na kahawa tu system yote inayeyuka wale maaskofu wa Tec wana mapungufu yao nao ila mara nyingi wanasimamia haki na kweli waleKwan hujui bakwata ni system mzee? Hujui kuwa bakwata ni usalama?
Hakuna JWTZ wanaofanya kazi za hivyo. Usiwaingize hukoBAKWATA Wapo affiliated na CCM. Shekhe mkuu mufti hulindwa na TISS. Nyumbani kwake kuna JWTZ wanalinda na mitutu ya bunduki.
Balaza la wazamini la bakwata linaundwa na WANA CCM . Tena wezi na matapeli wa mhini kina SELEMANI KOVA na wenzake
Nimeona mahali sheikh 1 al-badr kw yeyote atakaempinga mama - kwmb yampate mabaya. Pamoja na kwmb mximamo wa BKWT unafahamika, sijaona mximamo wao rasmi. Ni masheikh 1, 1 wanaotoa maoni yao binafsi!Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?
Wao siwanasifia nakumuombea Dua mtukufu hawana shidaNaomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?