Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?

Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?

Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?

..Katibu wa Bakwata aliiasa serikali ifanyie marekebisho kasoro na mapungufu yaliyojitokeza ktk uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.

..Mufti Zuberi katika hadhara hiyohiyo akatoa hotuba ambayo ni sawa na kupinga kilichosemwa na Katibu Mtendaji wake.
 
BAKWATA Wapo affiliated na CCM. Shekhe mkuu mufti hulindwa na TISS. Nyumbani kwake kuna JWTZ wanalinda na mitutu ya bunduki.
Balaza la wazamini la bakwata linaundwa na WANA CCM . Tena wezi na matapeli wa mhini kina SELEMANI KOVA na wenzake
Nimecheka kijinga sana , kumbe mzee wetu Ponda ana hoja asikilizwe
 
gentleman,
ujumbe wao mzito na muhimu sana kwa waTanzania ulikua ni kuimarisha umoja na amani miongoni mwa waTanzania wote kuelekea chaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025.

Waliapa kutochoka wala kupumzika kuiomba Tanzania Amani na kuwaombea waTanzania na viongozi wote nchini afya njema na uchaguzi mkuu wa salama na amani utakao fanyika mapema October mwaka huu 2025🐒
Hii acc mnaoiendesha mnaelekea kuchanganyikiwa kama sio tiyari, duniani huwezi jifanya wajua kila kitu,

Machawa Mungu awachukue taifa lipone
 
..Katibu wa Bakwata aliiasa serikali ifanyie marekebisho kasoro na mapungufu yaliyojitokeza ktk uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.

..Mufti Zuberi katika hadhara hiyohiyo akatoa hotuba ambayo ni sawa na kupinga kilichosemwa na Katibu Mtendaji wake.
Hawa ipo siku tutakutana tukiwa katika mwili mpya ,watakula makofi sana ,mtu mzima kuwa mnafiki hakufai kisa feva za kidunia
 
Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?

Waislam wameanza kuelewa hasara ya kujiingiza kwenye siasa. Wamejifunza kwamba wanakuwa salama, wanaheshimika sana na kuaminika sana, wakijitenga na (ulaghai wa kwenye) siasa
 
Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?

Tofautisha wasiosoma katika imani na waliosoma.

Kwani manguli kama kina Assad wanasema je kuhusu election bila reforms?

Kwani zile mbumbumbu za kwetu hamna hata moja?

Ilmu ni ufunguo wa maisha!
 
Back
Top Bottom