Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?

Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?

..Katibu wa Bakwata aliiasa serikali ifanyie marekebisho kasoro na mapungufu yaliyojitokeza ktk uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.

..Mufti Zuberi katika hadhara hiyohiyo akatoa hotuba ambayo ni sawa na kupinga kilichosemwa na Katibu Mtendaji wake.
 
BAKWATA Wapo affiliated na CCM. Shekhe mkuu mufti hulindwa na TISS. Nyumbani kwake kuna JWTZ wanalinda na mitutu ya bunduki.
Balaza la wazamini la bakwata linaundwa na WANA CCM . Tena wezi na matapeli wa mhini kina SELEMANI KOVA na wenzake
Nimecheka kijinga sana , kumbe mzee wetu Ponda ana hoja asikilizwe
 
 
..Katibu wa Bakwata aliiasa serikali ifanyie marekebisho kasoro na mapungufu yaliyojitokeza ktk uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.

..Mufti Zuberi katika hadhara hiyohiyo akatoa hotuba ambayo ni sawa na kupinga kilichosemwa na Katibu Mtendaji wake.
Hawa ipo siku tutakutana tukiwa katika mwili mpya ,watakula makofi sana ,mtu mzima kuwa mnafiki hakufai kisa feva za kidunia
 
Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?

Waislam wameanza kuelewa hasara ya kujiingiza kwenye siasa. Wamejifunza kwamba wanakuwa salama, wanaheshimika sana na kuaminika sana, wakijitenga na (ulaghai wa kwenye) siasa
 
Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?

Tofautisha wasiosoma katika imani na waliosoma.

Kwani manguli kama kina Assad wanasema je kuhusu election bila reforms?

Kwani zile mbumbumbu za kwetu hamna hata moja?

Ilmu ni ufunguo wa maisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…