Naomba kujua bei ya jumla ya nondo sasa hivi maana sisi tunaoishi mbali mafundi wanatupiga sana

kwa kuelewa zaidi roughly nyumba ya ghorofa moja ya kawaida inaweza tumia tone ngapi za nondo kwa makisio!
Quantity Surveyors/Civil Engineers ndo wanaweza kutupa ideas hapa ingawa itategemea pia ukubwa wa ghorofa lenyewe
 
Bei ya jumla Kwa nondo wanauza Kwa tan itakugarimu takribani 2,250,000
 
Bei ya jumla Kwa nondo wanauza Kwa tan itakugarimu takribani 2,250,000
MM Steel mikocheni ni chini ya hiyo bei ila ubargain kiukwelii au uwe na konexion ni around 2M-1.7M
 
kwa kigamboni niliuliza 1,760,000/= pale kwa tiger na kibaha 1,780,000/= pale kyem hardware.
 
Uko sahihi kabisa mkuu.
 
Mada za kikubwa nasoma comment wadau najifunza
 
Mafundi usipokua nao karibu wakati wa ujenzi wanakupiga sio kidogo
 
Nimejenga kwa nondo za wizi bei rahisi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…