Quantity Surveyors/Civil Engineers ndo wanaweza kutupa ideas hapa ingawa itategemea pia ukubwa wa ghorofa lenyewekwa kuelewa zaidi roughly nyumba ya ghorofa moja ya kawaida inaweza tumia tone ngapi za nondo kwa makisio!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quantity Surveyors/Civil Engineers ndo wanaweza kutupa ideas hapa ingawa itategemea pia ukubwa wa ghorofa lenyewekwa kuelewa zaidi roughly nyumba ya ghorofa moja ya kawaida inaweza tumia tone ngapi za nondo kwa makisio!
Hi ni bei ya kiwanda gani/Supplier gani?Sasa hivi ni 1, 760, 000
Hii bei kuna mpemba huwa nanunua kwake. Yeye aliniunganishaHi ni bei ya kiwanda gani/Supplier gani?
MM Steel mikocheni ni chini ya hiyo bei ila ubargain kiukwelii au uwe na konexion ni around 2M-1.7MBei ya jumla Kwa nondo wanauza Kwa tan itakugarimu takribani 2,250,000
Uko sahihi kabisa mkuu.Nadhani huwa zinauzwa kama misumari, bei ya misumari kwa Kg ni tsh 4000 haijalishi ni misumari ya nchi ngapi. Ukinunua kg 1 ya misumari ya nchi 3 utapata misumari mingi tofauti na ukinunua Kg 1 ya misumari ya nchi 4 lakini uzito ni ule ule
Ukinunua tani moja ya nondo za 12mm unapata 94pcs lakini ukinunua tani moja ya nondo za 16mm unapata 53pcs