GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Majeshi ya Bara la Ulaya, America, Mashariki ya Kati na Mashariki ya mbali huwa hayana Upuuzi wa Kuficha au Kuwaficha Wananchi wa Nchi zao Taarifa za Kuuwawa kwa Wanajeshi wake katika Ambush wakiwa Vitani au katika Misheni za AU au UN.
Ila kwa Bara la la Afrika Majeshi yao hupenda sana kuficha au kufanya Siri kama Wanajeshi wao mfano 400 wakishambuliwa katika Ambush na Wanajeshi 40 Kufa.
Na kinachoshangaza zaidi haya Majeshi ya Bara la Afrika yataficha Taarifa hizo za Vifo vya Wanajeshi wao na hata Kuwatisha Ndugu wasiseme ila wanasahau kuwa Asili ya Waafrika ni Umbea hivyo kuna Ndugu zao tu hawana Uvumilivu na midomo yao itawawasha na Kuwaambia Waafrika Wenzao.
GENTAMIYCINE nichukue nafasi hii kuwapa Pole zangu nyingi Wanajeshi 400 wa Bara la Afrika walioshambuliwa na Ambush Kali huko nchini Msumbiji na Waasi wa Al Shaabab na Wanajeshi kati ya 40 hivi Kufa na Wengine Kujeruhiwa vibaya na sasa Wanatibiwa katika Hospitali za Kijeshi za Majeshi ya huko huko nchi za Barani Afrika.
Geniuses adriz na Bila bila mpo Ndugu zangu? Nawakubali mno kwakuwa huwa ni wepesi mno Kunielewa kwani tulisoma Wote Kozi zetu zile Ngumu na Makini nchini Cuba na Puerto Rico.
Waafrika bhana.....! Unaficha Msiba?