Naomba kujua Faida yoyote ya Jeshi lolote la Afrika Kuficha Taarifa za Kuuwawa kwa 'Ambush' kwa Wanajeshi wake

Naomba kujua Faida yoyote ya Jeshi lolote la Afrika Kuficha Taarifa za Kuuwawa kwa 'Ambush' kwa Wanajeshi wake

Vita ya ugaidi ni ngumu kuliko unavyofikiri.
Hao jamaa hushambulia na kurudi kujichanganya raia ...utawatambua je?
Mbona M23 mlitamba Kuwaweza kwanini Jeshi lako hovyo la Barani Afrika hawa Magaidi wa Al Shaabab walioko Msumbiji liwashinde?
 
Mungu awapumzishe mashujaa wetu
Mashujaa hawafi Kipumbavu. Wanaacha Kujilinda Mahangani Kwao wao muda wote wako Mitandaoni kuangalia kama Mayele kasaini au anaondoka huku wakiangalia Mipono tu kwanini Wanajeshi wa Bara la Afrika wasife?
 
We mbona unatumia id feki hapa jukwaani? Nadhani kuna maslahi mapana katika kuficha hicho kitu kama kweli kimetokea. Huwa wanasema na last time tumepigwa ambush ya kikatili sana kule Darfur ilitangazwa, tuwape muda
 
Kaa ukijua katika nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara hakuna jeshi lenye nguvu na intelijensia kali kama jeshi letu

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Inashangaza sana, congo drc, msumbiji, somalia na sasa sudan tena moto unawaka, kenya isipokuwa makini na ushenzi huo raila anaiwasha moto wenyewe kwa wenye AU, UN na hao akina red cross watakimbilia huko kwa kile kitu kinaitwa peace keeping mission. UN bure kabisa tangu miaka ya 60 haijafanikiwa kumaliza mapigano drc congo pamoja na mission zake nyingi huko
Hata Tanz moto utawakaa soon, watu wamechokwa kuburutwaa hovyoo bora kiumanee, heshima na amani itakuwepo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We GENTA wewe ila ndugu zako wale wa ambao nchi yao ni wilaya ya kigoma nao si walienda kule vipi taarifa zao mbona hutoi update zao, iyo ni ajali kazini kama ni kweli itatangazwa tu mwanajeshi akisikia mwenzie kafa ndo kwanza anatamani kwenda iyo sehemu
 
We mbona unatumia id feki hapa jukwaani? Nadhani kuna maslahi mapana katika kuficha hicho kitu kama kweli kimetokea. Huwa wanasema na last time tumepigwa ambush ya kikatili sana kule Darfur ilitangazwa, tuwape muda
Tafadhali sijaitaja nchi na sitaki Kiherehere ( Kisokolokwinyo ) ninachoanza Kukiona Kwako sawa?
 
raia ndiyo wanatakiwa wawachomee utambi
Unajua hao jamaa uraiani ni wapole, wacha Mungu na watoa misaada, huwezi kuwatilia shaka.

Wanachinja na kugawa nyama kwenye nyumba za ibada kama kusaidia wasiojiweza...ngumu sana kuchomwa na raia
 
Unajua hao jamaa uraiani ni wapole, wacha Mungu na watoa misaada, huwezi kuwatilia shaka.

Wanachinja na kugawa nyama kwenye nyumba za ibada kama kusaidia wasiojiweza...ngumu sana kuchomwa na raia
So what?
 
Natamani iwe hivyo, ningependa kujua ni matukio gani ambayo jeshi letu lime (li)weza kung'amua na kuzuia kabla ya mipango kutimia.

Ahsante
Mkuu haya mambo yanaendeshwa kwa siri sana sio rahisi kwa mtu aliye nje ya chombo kufahamu

Kuna mambo yamefanyika misitu ya Congo mpaka tumepata tuzo ila hatupendi show off

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu haya mambo yanaendeshwa kwa siri sana sio rahisi kwa mtu aliye nje ya chombo kufahamu

Kuna mambo yamefanyika misitu ya Congo mpaka tumepata tuzo ila hatupendi show off

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Nina imani na Jeshi letu lakini kusema kwamba tuna intelijensia nzuri kuliko majeshi mengine (jambo ambalo ningejivunia kwalo), inaweza ikawa ngumu kidogo kudhibitisha.

Tanzania ni miongoni mwa mataifa machache yaliyobarikiwa kutokuwa na vihatarishi vikubwa vya ugaidi. Kwa hiyo, walao when it comes to CONTEMPORARY THREATS kama ugaidi, we are safe.

Tungekuwa na vitisho vikubwa na tukaweza ku-blow mission nyingi za hizi contemporary threat kabla hazija materialize, tungeweza tukajisifia walao kuwa tupo sehemu nzuri panapohusika suala la Intelijensia.

Binafsi naamini tupo vizuri na tutaendelea kuimarika kadri siku zisongavyo, ila tusihadaike na stori tupu bila ya vitendo.
 
Back
Top Bottom