Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Haya Kazikeni hao 42.Ukipigwa ambush kupona ni asilimia chache sana
Ova
Mbona M23 mlitamba Kuwaweza kwanini Jeshi lako hovyo la Barani Afrika hawa Magaidi wa Al Shaabab walioko Msumbiji liwashinde?Vita ya ugaidi ni ngumu kuliko unavyofikiri.
Hao jamaa hushambulia na kurudi kujichanganya raia ...utawatambua je?
Mashujaa hawafi Kipumbavu. Wanaacha Kujilinda Mahangani Kwao wao muda wote wako Mitandaoni kuangalia kama Mayele kasaini au anaondoka huku wakiangalia Mipono tu kwanini Wanajeshi wa Bara la Afrika wasife?Mungu awapumzishe mashujaa wetu
Kaa ukijua katika nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara hakuna jeshi lenye nguvu na intelijensia kali kama jeshi letuMashujaa hawafi Kipumbavu. Wanaacha Kujilinda Mahangani Kwao wao muda wote wako Mitandaoni kuangalia kama Mayele kasaini au anaondoka huku wakiangalia Mipono tu kwanini Wanajeshi wa Bara la Afrika wasife?
Hata Tanz moto utawakaa soon, watu wamechokwa kuburutwaa hovyoo bora kiumanee, heshima na amani itakuwepo.Inashangaza sana, congo drc, msumbiji, somalia na sasa sudan tena moto unawaka, kenya isipokuwa makini na ushenzi huo raila anaiwasha moto wenyewe kwa wenye AU, UN na hao akina red cross watakimbilia huko kwa kile kitu kinaitwa peace keeping mission. UN bure kabisa tangu miaka ya 60 haijafanikiwa kumaliza mapigano drc congo pamoja na mission zake nyingi huko
Natamani iwe hivyo, ningependa kujua ni matukio gani ambayo jeshi letu lime (li)weza kung'amua na kuzuia kabla ya mipango kutimia.Kaa ukijua katika nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara hakuna jeshi lenye nguvu na intelijensia kali kama jeshi letu
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
raia ndiyo wanatakiwa wawachomee utambiVita ya ugaidi ni ngumu kuliko unavyofikiri.
Hao jamaa hushambulia na kurudi kujichanganya raia ...utawatambua je?
Tafadhali sijaitaja nchi na sitaki Kiherehere ( Kisokolokwinyo ) ninachoanza Kukiona Kwako sawa?We mbona unatumia id feki hapa jukwaani? Nadhani kuna maslahi mapana katika kuficha hicho kitu kama kweli kimetokea. Huwa wanasema na last time tumepigwa ambush ya kikatili sana kule Darfur ilitangazwa, tuwape muda
Lipi hilo? Itaje nchi tafadhali.Kaa ukijua katika nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara hakuna jeshi lenye nguvu na intelijensia kali kama jeshi letu
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Unajua hao jamaa uraiani ni wapole, wacha Mungu na watoa misaada, huwezi kuwatilia shaka.raia ndiyo wanatakiwa wawachomee utambi
So what?Unajua hao jamaa uraiani ni wapole, wacha Mungu na watoa misaada, huwezi kuwatilia shaka.
Wanachinja na kugawa nyama kwenye nyumba za ibada kama kusaidia wasiojiweza...ngumu sana kuchomwa na raia
Mtani hebu punguza munkari...sisemi nawe tuliza kijambio😅So what?
Mkuu haya mambo yanaendeshwa kwa siri sana sio rahisi kwa mtu aliye nje ya chombo kufahamuNatamani iwe hivyo, ningependa kujua ni matukio gani ambayo jeshi letu lime (li)weza kung'amua na kuzuia kabla ya mipango kutimia.
Ahsante
Sawa Mtani.Mtani hebu punguza munkari...sisemi nawe tuliza kijambi😅
Huko kwa Al Shaabab Msumbiji hamjapewa. bado Tuzo? Huna unachokijua sawa?Mkuu haya mambo yanaendeshwa kwa siri sana sio rahisi kwa mtu aliye nje ya chombo kufahamu
Kuna mambo yamefanyika misitu ya Congo mpaka tumepata tuzo ila hatupendi show off
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Kuna wakati una adabu sana mtani...au ulihudhuria mkesha wa chako ni chako kwa jirani yako Mwamposa??😂😂😂Sawa Mtani.
Nina imani na Jeshi letu lakini kusema kwamba tuna intelijensia nzuri kuliko majeshi mengine (jambo ambalo ningejivunia kwalo), inaweza ikawa ngumu kidogo kudhibitisha.Mkuu haya mambo yanaendeshwa kwa siri sana sio rahisi kwa mtu aliye nje ya chombo kufahamu
Kuna mambo yamefanyika misitu ya Congo mpaka tumepata tuzo ila hatupendi show off
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app