Naomba kujua Faida yoyote ya Jeshi lolote la Afrika Kuficha Taarifa za Kuuwawa kwa 'Ambush' kwa Wanajeshi wake

Suala la kule Cabo Delgado Msumbiji siyo Ugaidi kama watu wengi wanavyodhani, wale wapigani wa kule ni waasi wa kisiasa wa Chama cha Upinzani cha RENAMO. Mgogoro ule ni wa enzi na enzi tangu kuondolewa kwa mkoloni wao Mreno, sababu ya vita ikiwa ni dhulma za kisiasa na kijamii. Serikali ya FRELIMO inalijua vyema kabisa suala hili.
 
S

Drc-m23, Somalia - Alshabaab, Nigeria-Boko Haram, Ethiopia - Tigrey nk omba yasikukute endelea kusikia tu kwa majirani usiilaumu sana Msumbiji.
 
Renamo ni tofauti kabisa na wale magaidi wa Cabo del gado, acha kuchanganya mambo.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20231219_113054_com.facebook.katana.jpg
    163.3 KB · Views: 1
Renamo ni tofauti kabisa na wale magaidi wa Cabo del gado, acha kuchanganya mambo.
Hujui kwa kina kuhusu mgogoro ule. Uislamu pale umetumika tu kama 'Scapegoat' ya kuweza kuungwa mkono na mataifa mengine na ili wapiganaji hao waweze kupata msaada wa silaha kutoka huko kwa Washirika wao, na wamefanikiwa malengo yao kwa kutumia strategy hio.
 
Ule ni ugaidi mkuu, usijaribu kupindisha maneno.

 
Mtu dhaifu kiakili ni vigumu kukubali kwamba ana madhaifu hata yakitokea huyaficha ili kulinda brand dhaifu.
 
Kwani neno "ugaidi" maana yake nini? Je, nini tofauti kati ya ugaidi na "uanaharakati" wa kisiasa au wa haki za binadamu?
Kumbuka:Hata Nelson Mandela alifungwa jela miaka takribani 30 kwa sababu ambayo Utawala wa Makaburu waliiita kuwa in "vitendo vya kigaidi."
Aidha, hata ukichunguza au ukitafiti kwa kina sana kuhusu mgogoro wa Boko Haram kule Nigeria, pia utakuja kugundua kwamba sababu ya kuibuka au kuwepo kwa kundi hilo ni "uasi wa kisiasa," wala siyo ugaidi kama tunavyoaminishwa na watawala wa Nigeria. Na vuguvugu like lilianza tangu miaka ya 1960s wakati wa vita ya kujitenga ya "Biafra," na suala la Uislamu pale limetumika ili kupata uungwaji mkono kutoka kwa nchi za nje na ili wapiganaji waweze kupata msaada wa silaha. Hata maeneo yenye tatizo la Boko Haram ni yale yale maeneo yaliyokumbwa na vita vya kujitenga vya Biafra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…