Naomba kujua hasa Wasifu wa huyu Mtu aitwae 'Waziri' ninayemuona 24/7 akiwa nyuma ya Rais Samia huku akiwa anasikilizwa na hata Kuogopwa pia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na hata awagope na awasikilize?

Kama kuna Uzi ambao GENTAMYCINE leo nitatulia sana Kusoma Comments za Members mbalimbali JF basi ni huu.
 
Mjukuu wa Musuguri nakuona..
 
Ndio right handman anaeaminika kama Abdul!!yaani huyo ndio Alfa na Omega wake kwenye Kila jambo hasta ukitaka uteuzi ukamuomba jamaa lazima update tu!!

Nasikia hivyo!

Japo Kwa jana wamechemka kwenye kale kamchakato kao ka mapema!
 
Kumbe.....!!!!!!
 
Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na hata awagope na awasikilize?

Kama kuna Uzi ambao GENTAMYCINE leo nitatulia sana Kusoma Comments za Members mbalimbali JF basi ni huu.
Weka picha pls GENTAMYCINE tumfahamu, nina plot sehemu Moro nikaambiwa jirani yangu ni msaidizi wa No. 1.
 
GENTAMYCINE Simba wamesonga mbele kwenye mashindano ya Caf na Yanga wamerudi huku wakidai kuwa nyumbani kumenoga.

Hii imekaaje.
 
Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na hata awagope na awasikilize?

Kama kuna Uzi ambao GENTAMYCINE leo nitatulia sana Kusoma Comments za Members mbalimbali JF basi ni huu.
Tumeonana kifikra.🤝
 
Presidential security unit haiwezi kufanya kazi kikamilifu pasipo kutegemea ripoti zinazotoka ofisi ya uchambuzi wa masuala ya usalama wa taifa kwa sababu wao ndio walaji wa kwanza wa taarifa ya hali ya usalama, hivyo si ajabu kwa timu ya ulinzi wa rais kuwa makini na kupokea maelekezo kutoka kwa intelligence analyst
 
Back
Top Bottom