Naomba kujua je, malengo ya Chama kuhamia Yanga SC kuwa anafuata Mashindano makubwa ili afike mbali yametimia?

Naomba kujua je, malengo ya Chama kuhamia Yanga SC kuwa anafuata Mashindano makubwa ili afike mbali yametimia?

Amefanikiwa. Ndo hayo mashindano makubwa kayapata anasubiri tena next time. Ametuletea Yanga gundu tu na uzee wake anatembea kama kajinyea. Mimi nliwaambia akina Hersi Chama hamna kitu Simba hawana shida naye tena ameshazeeka....wakawa wabishi.
Leo yamekuwa hayo Mkuu? Na bado......!!!!!!!
 
Chama anatumka VRA. Inafahamika. Simba walituachia ili tuhangaike naye hawa mambwa. Amekuja gundulika sasa hapangwi dk. 90. Wanasema asichoshwe sana.
Tunajua kuwa tokea 2020 aliungua kwa yule yule Demu maarufu aliyeunganishwa na Mkude na Mkude akala 10% yake.
 
Chama kupata nafasi yanga labda paccome aondoke simba akimchukua pacome yanga watalia sana
 
Wana Simba SC wa ndani kwa 100% tunajua Nyaya za Umeme kwa Chama zilikatika Kitambo baada ya Mkude Kumponza kwa yule yule aliyemuumiza pia Boss wa zamani CECAFA, Boss wa zamani Simba SC na Mwandishi wa Kike mkongwe wa Gazeti la Kampuni ya Marehemu Tajiri wa Kichagga na Radio yake Moja. Sitaki Swali / Maswali tafadhali ila jua kuwa Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE tajiri wa kupata Taarifa zote za Ndani na Sera yangu ni kwamba ULIPO NIPO.

Imeisha hiyo......!!!!!!!
Chama yupo wapi sasa.
 
Hajafanikiwa na hawezi kufanikiwa,, kikosi Chao ndo kinazeeka hivyo
 
Leo yamekuwa hayo Mkuu? Na bado......!!!!!!!
Nyie Simba mliamua kutuachia makapi. Mmekula muwa mkanyonya maji kisha mkawa mnajifanya bado una utamu mnatuachia machezaji yamechoka hayana kitu tena. Hilo jambo nitawalaani sana. Chama kwa sasa anaona aibu anajikaza tu. Hana namba, hana uhakika. Na hatujui hizo RVA zitamfikisha wapi... Nyie wabaya sana mi nawalaani kabisa.
 
Tunajua kuwa tokea 2020 aliungua kwa yule yule Demu maarufu aliyeunganishwa na Mkude na Mkude akala 10% yake.
Halafu mlivyo na roho mbaya hamkusema. Mkanyamaza tu....sisi tunapambana kupandisha na dau kumbe mnaturengesha... Na Baleke. Nyie wabaya sana. Leo hii sisi Yanga wa kuishia Makundu? Inaumiza sana kwa kweli. Mmetuhujumu pakubwa sana.
 
Back
Top Bottom