GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Leo yamekuwa hayo Mkuu? Na bado......!!!!!!!Amefanikiwa. Ndo hayo mashindano makubwa kayapata anasubiri tena next time. Ametuletea Yanga gundu tu na uzee wake anatembea kama kajinyea. Mimi nliwaambia akina Hersi Chama hamna kitu Simba hawana shida naye tena ameshazeeka....wakawa wabishi.