chaja2
Member
- Sep 1, 2021
- 17
- 45
Habari za muda huu watu wangu wa nguvu kabisa
Hili ni jukwaa ambalo kwakweli nikitafuta maelezo kuhusu kitu flani lazima nipate.
Naomba msaada wa mwenye kujua aina hii ya baiskeli
Gharama yake used na mpya,
Upatikanaji wake wa spare,
Specification zake.
Maana nina taka ninunue baiskeli ya umeme.
Nimeulizia bei nika ambiwa 350000/= Laki tatu na nusu
Natanguliza shukrani zangu.