welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,229
- 4,839
Kuna ras mmoja anayo Arusha inamziki wa JBL akipita lazima ugeuke!
Utani tu mkuu, kila mwanamke ni mchumba ujueHalafu nyie mboni kila Manzi mzuri humu JF mnafanya Mchumba wenu? Muone wewe wa Pili nakuona
Musoma kuna lami?M
Mimi nipo musoma
Lengo la kuulizia hii baiskeli ni kwa ajili ya route za town na kazini ina pita lamini.
Usimtoe kwenye malengo mkuu, duniani kila mtu anavutiwa ni vitu flani, ambavyo mwingine hata hsoni umuhimu.Kama ni hivyo nakushauri nunia vespa ya umeme ni 900,000/- hadi 1.2M kuliko hilo dude uliloliweka hapo Mkuu.
Zipo pia pikipiki nhingine za umeme zimefanana na pikipiki za boxer ila hizo sijajua bei zake.
Au kama unapenda sana baiskel nunia ya fremu ya faiba na break za disc au hydrolic bei ni kuanzia 450,000/-hadi 800,000/- unaipata fresh ila hapo utapiga pedal ila ni baiskel ya maana sana.
Kwa Arusha Check na jamaa wanajiita ABC Bikes (google/instagram) hawa wana ofisi na Moshi pia na ni watu wa uhakika sana. Ni wewe tu na baiskel unayoitaka.Kama ni Arusha naomba contacts zao nitakupa mrejesho
Sawa mkuu japo Arusha bikes nzuri ni ghali sana kwa ajili ya wazungu.Kwa Arusha Check na jamaa wanajiita ABC Bikes (google/instagram) hawa wana ofisi na Moshi pia na ni watu wa uhakika sana. Ni wewe tu na baiskel unayoitaka.