Naomba kujua kuhusu aina hii ya baiskeli hapa tanzania

chaja2

Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
17
Reaction score
45
Habari za muda huu watu wangu wa nguvu kabisa
Hili ni jukwaa ambalo kwakweli nikitafuta maelezo kuhusu kitu flani lazima nipate.
Naomba msaada wa mwenye kujua aina hii ya baiskeli
Gharama yake used na mpya,
Upatikanaji wake wa spare,
Specification zake.
Maana nina taka ninunue baiskeli ya umeme.
Nimeulizia bei nika ambiwa 350000/= Laki tatu na nusu
Natanguliza shukrani zangu.
 

Attachments

  • Screenshot_20250406-161854.png
    653.2 KB · Views: 52
Wauzaji hawajesema wako Zanzibar?
Maana kila nikiona baiskeli nzuri insta nikiuliza naambiwa wapo Zanzibar.....utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ