Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Kuna member jana nilikuwa naongea nae, ni mzuri kwa kuelezea vitu vilivyopo kwenye dark web.. Yeye alisema hao Akina Elon musk na Jeff Bezos sijui Akina billgate hawana pesa mbele ya Rothschild family
Niliingia Google as fast as possible nikaja kuona ni kweli, Forbes inaweka wazi kuwa Rothschild family wana utajiri kupindukia wa $20 trillion and above,, hii pesa ni nyingi sana nadhani ni utajiri usiohesabika, jumlisha pesa za matajiri top twenty wote hazifikii
Swali ni kwamba, nini kinafichwa juu ya hii Familia mpaka Forbes wamuweke Elon musk kuwa tajiri kuliko wote duniani ilihali Kuna binadam wenye pesa ndefu nahawatajwi
Huyu jamaa alisema ukiingia kwenye dark web, Kuna orodha ya watu wanaomiliki pesa zaidi ya kumi na majina yao sio maarufu, mbali na hapo wenye pesa kubwa majina yao hayajulikani
Naombeni kujua zaidi kuhusu huu ukweli. Asante