Naomba kujua kuhusu utajiri wa Rothschild, ni zaidi ya Elon jumlisha Bezos

Kuna member jana nilikuwa naongea nae, ni mzuri kwa kuelezea vitu vilivyopo kwenye dark web.. Yeye alisema hao Akina Elon musk na Jeff Bezos sijui Akina billgate hawana pesa mbele ya Rothschild family

Niliingia Google as fast as possible nikaja kuona ni kweli, Forbes inaweka wazi kuwa Rothschild family wana utajiri kupindukia wa $20 trillion and above,, hii pesa ni nyingi sana nadhani ni utajiri usiohesabika, jumlisha pesa za matajiri top twenty wote hazifikii

Swali ni kwamba, nini kinafichwa juu ya hii Familia mpaka Forbes wamuweke Elon musk kuwa tajiri kuliko wote duniani ilihali Kuna binadam wenye pesa ndefu nahawatajwi

Huyu jamaa alisema ukiingia kwenye dark web, Kuna orodha ya watu wanaomiliki pesa zaidi ya kumi na majina yao sio maarufu, mbali na hapo wenye pesa kubwa majina yao hayajulikani

Naombeni kujua zaidi kuhusu huu ukweli. Asante
Source Hindustan times? Hapo ni kama Tunaongelea issue za Trump halafu source iwe manara TV. Vyema tafuta mwenyewe huko Forbes.
 
Forbes wanapima public listed companies tu, Ndio maana waarabu wa mafuta hawapo sababu utajiri wao ni private, ama hao wengine. Pia Al nahyan si matajiri kama Familia ya Al Saud.
Yule wa al saud haesabiwi sababu ni king,wealth ya nchi nzima ni yake, kwaio wealth zao ni generational ndo maana kwenye families hua hawamueki
 
Elon ni richest person kwa watu duniani kutokana na forbes,mtu mmoja mmoja ambao wao wanapima kupitia ownerships Elon ndo anaongoza kwa watu,ila ukija kwenye richest families ni Al nahyan waarabu hao wa abu dhabi ndo richest families ukiangalia upande wa ownerships,ila in reality richest familiy on Earth ni hao Rothschild ambao wana gap kubwa la pesa,sasa tunakuja kwanin forbes hua hawawataji kwenye list sababu kubwa ni hii family haina ownerships ya vitu yenye ina control everything,ina buy shell companies ambazo zinanunua hisa kubwa kwenye makampuni yote makubwa ko pesa inakua inaingia bila shida ila ile ownership jina lao halipo,wanapoa kwenye shadows mpunga unaingia,head wa familia ambae ni Jacob Rothschild pekee yake ana mpunga wa $dollar trillion 5
Halafu huku bongo ticha analipwa laki tatu kwa mwezi dahhh! Dunia hii Tuache tu
 
Kuna member jana nilikuwa naongea nae, ni mzuri kwa kuelezea vitu vilivyopo kwenye dark web.. Yeye alisema hao Akina Elon musk na Jeff Bezos sijui Akina billgate hawana pesa mbele ya Rothschild family

Niliingia Google as fast as possible nikaja kuona ni kweli, Forbes inaweka wazi kuwa Rothschild family wana utajiri kupindukia wa $20 trillion and above,, hii pesa ni nyingi sana nadhani ni utajiri usiohesabika, jumlisha pesa za matajiri top twenty wote hazifikii

Swali ni kwamba, nini kinafichwa juu ya hii Familia mpaka Forbes wamuweke Elon musk kuwa tajiri kuliko wote duniani ilihali Kuna binadam wenye pesa ndefu nahawatajwi

Huyu jamaa alisema ukiingia kwenye dark web, Kuna orodha ya watu wanaomiliki pesa zaidi ya kumi na majina yao sio maarufu, mbali na hapo wenye pesa kubwa majina yao hayajulikani

Naombeni kujua zaidi kuhusu huu ukweli. Asante
 
Yule wa al saud haesabiwi sababu ni king,wealth ya nchi nzima ni yake, kwaio wealth zao ni generational ndo maana kwenye families hua hawamueki
Kivip, Mali nizawananchi hakuna mtu anamiliki nchi aseme yangu kana kwamba anaweza hata kuwafukuza..
 
Hakuna utajiri unaopatikana kirahisi kumbe duuh
 
Brother forbes wao wanaweka matajiri wa halali na wale ambao wametaka biashara zao ziwe public.

Hao jamaa ndo wanamiliki mafuta duniani iwe direct au indirect, vita zote na uuzaji wa silaha wao ndo wafadhili, bank zote duniani hao jamaa wanamkono wao maana bank kuu zote unazojua wewe mpka federal reserve ujue ni wao.

Misaada yote na waibaji wakubwa wa mali hasa migodi sjui barick na wengine ote ni hao mbuzi.
Mmh
 
Rockefeller ni matajiri sana lakini eti Google wanasema Elon musk ndo tajiri kuliko wote shut up 🤣🤣🤣.. Ila kwa roman catholic church apo umetupiga hawawez mzidi Elon musk wala Mukesh Amban
Catholic Church in Germany alone kwa mtindo wa kukadiria tu na kwa kuacha real estates na mengine mengi lina utajiri wa zaidi ya $26 bilion na ni kasehemu kadogo sana ka Kanisa zima. Utajiri wa Kanisa Katoliki pia ni mtambuka sana na ukienda kwa mfano kwenye sadaka za kila wiki tu Kanisa Katoliki huingiza zaidi ya $500 millioni ambazo ni zaidi ya $25 billion kwa mwaka! Bado kuna investiments nyingi sana kama mashule zaidi ya na vyuo vikuu maelfu duniani vinaingiza mapato kila mwaka. Ona kwa kifupi tu hapa kuhusu mashule ya Kanisa Katoliki:

The Catholic Church operates an extensive network of educational institutions worldwide. As of recent data:
Ukipenda weka na vyuo vikuu hapo:
The Catholic Church operates a network of 1,358 universities and higher education institutions worldwide according to the Vatican’s Congregation for Catholic Education. However, the United States Conference of Catholic Bishops (USCCB) counts it at 1,8611. Some notable Catholic universities include Georgetown University, Katholieke Universiteit Leuven, University of Notre Dame, and Boston College2.
 
Mfumo wa benki duniani ni mali yao, wao ndio huamua exchange rates ya pesa wao ndio hufahamu, biashara za dhahabu na almasi na mawe mengine ya thamani wao ndio wanacontrol nadhani Kwa ufupi ni hivo
 
Utajiri wa roman wa kawaida tu bado naww, hao fananisha na dangote
 
Elon ni richest person kwa watu duniani kutokana na forbes,mtu mmoja mmoja ambao wao wanapima kupitia ownerships Elon ndo anaongoza kwa watu,ila ukija kwenye richest families ni Al nahyan waarabu hao wa abu dhabi ndo richest families ukiangalia upande wa ownerships,ila in reality richest familiy on Earth ni hao Rothschild ambao wana gap kubwa la pesa,sasa tunakuja kwanin forbes hua hawawataji kwenye list sababu kubwa ni hii family haina ownerships ya vitu yenye ina control everything,ina buy shell companies ambazo zinanunua hisa kubwa kwenye makampuni yote makubwa ko pesa inakua inaingia bila shida ila ile ownership jina lao halipo,wanapoa kwenye shadows mpunga unaingia,head wa familia ambae ni Jacob Rothschild pekee yake ana mpunga wa $dollar trillion 5
Mkuu hii mipunga faza zao ndo walizitafuta au ilikuwaje!?
 
Mfumo wa benki duniani ni mali yao, wao ndio huamua exchange rates ya pesa wao ndio hufahamu, biashara za dhahabu na almasi na mawe mengine ya thamani wao ndio wanacontrol nadhani Kwa ufupi ni hivo
Kwann wao? Wananguvu gn ya kushawishi yote haya wafanye wao tuu bila compitition, wao wamekuwa Akina nani
 
True
Taasisi kubwa kubwa za kifedha duniani ziko chin yao,wamefanya mengi makubwa sana,miundombinu ya usa na mengine mengi sana ila huwezi kuwasikia

Back
Top Bottom