Naomba kujua kwanini Members wengine hapa wana Followers wengi na Wengine pamoja na Kujitutumua Kwetu JF bado hatuna hata Mmoja tu?

Relax, hamna mtu analipwa hapa JF kwa kuwa followers wengi
 
Sa

Sasa unaitisha nisikuripoti et🤣🤣🤣 ban utakula tu. Mi nisharipoti mitusi Yako yote. Subiri tu nitumie ila ban lazima ule
ulivyoniripoti umekumbuka pia kuwaambia kuwa umeidhalilisha id ya member GENTAMYCINE kwa kuiita Gentamavi?

pumbavu

 
what a rubbish and nonsensical comment
 
Genta ni nani mkuu
 
Mbona mimi ninao followers kumzidi huyo Gentamicine and you'll never see me bitching about it?
hongera mkuu unao wangapi mwenzetu? unaweza hata angalau tu kutupunguzia me mimi na wenye wivu, chuki na roho mbaya wenzangu akina Dabil na Charles kilian tusiompenda GENTAMYCINE mwenye followers wengi tu nae?
 
ukiona unajitutumua kuandika kitu ukijiona unajua au una akili halafu zinapita dakika 5 hamna mtu aliye like post yako jua wewe ni mpumbavu kuliko maelezo

🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…