GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"The king!!
Amina Mkuu. Yaani nipo radhi / tayari hata nibakiwe na Hela ndogo Mfukoni au katika Akaunti yangu ila Fungu la Kumi lake Mwenyezi Mungu nilitoe / nimtolee na huwa nasikia Furaha mno nikiitoa kwani hata Baraka huwa naziona na Maajabu ya Kimafanikio huwa nayaona.Ni baraka sana
Amina Mkuu. Yaani nipo radhi / tayari hata nibakiwe na Hela ndogo Mfukoni au katika Akaunti yangu ila Fungu la Kumi lake Mwenyezi Mungu nilitoe / nimtolee na huwa nasikia Furaha mno nikiitoa kwani hata Baraka huwa naziona na Maajabu ya Kimafanikio huwa nayaona.
AminaAmina Mkuu. Yaani nipo radhi / tayari hata nibakiwe na Hela ndogo Mfukoni au katika Akaunti yangu ila Fungu la Kumi lake Mwenyezi Mungu nilitoe / nimtolee na huwa nasikia Furaha mno nikiitoa kwani hata Baraka huwa naziona na Maajabu ya Kimafanikio huwa nayaona.
Nimeshahama Kawe tokea tarehe 18 February, 2024 na sasa niko Mapinga Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani yaliko Makazi mapya ila Wiki ijayo Mwenyezi Mungu akipenda GENTAMYCINE nayaanza Maisha yangu mapya nchini Uganda kwa Neema na Baraka zake Mola / Maulana.Ongeza kiwango cha imani... Toa ile sadaka ya kuji maliza kabisa kwa jirani yako hapo halafu chapa mguu kurudi nyumbani
Amina Mkuu. Tuko pamoja kwa Mungu.Kutoa zaka ni tukio ambalo linalotakiwa kuchukuliwa kama sherehe. Sherehe ya kumtuza mfalme Mungu wa miungu. Wengi wanafeli wanapoliona kama msiba. Linakuwa tukio la laana badala ya baraka.
Kutoa zaka ni sawa na kwenda kumtuza Mh Rais ambaye akifurahi anaweza kutoa tamko lolote la kifedha kwako na kila kitu kikawa kama alivyokutamkia.
Kabla sijatoa chochote kwa Mungu huwa nasoma 1 Nyakati 29. Kuboost furaha kwanza.
Hongera Mkuu. Ila pia ningependa kusikia maoni ya Kiranga kwenye hili.Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni Kawe, Kimara Temboni na huyu mpya wa Buza kwa Lulenge.
Ukiona kila Mwezi unatoa Fungu la Kumi Kanisani Kwako halafu huoni Mafanikio yoyote yale jua hiyo Hela unaitoa huku ukiwa na Usununu ( Hasira ) Moyoni mwako au Wewe ni Mchanganya Maombi na Mzururaji tukuka wa Kutwa kwa Waganga wa Kienyeji.
Akhsante Mungu kwa BARAKA zako!!!
apandae haba kwa ukarimu, atavuna haba kwa ukarimu 🐒 🐒Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni Kawe, Kimara Temboni na huyu mpya wa Buza kwa Lulenge.
Ukiona kila Mwezi unatoa Fungu la Kumi Kanisani Kwako halafu huoni Mafanikio yoyote yale jua hiyo Hela unaitoa huku ukiwa na Usununu ( Hasira ) Moyoni mwako au Wewe ni Mchanganya Maombi na Mzururaji tukuka wa Kutwa kwa Waganga wa Kienyeji.
Akhsante Mungu kwa BARAKA zako!!!
Huo ni mchezo wa saikolojia tu,Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni Kawe, Kimara Temboni na huyu mpya wa Buza kwa Lulenge.
Ukiona kila Mwezi unatoa Fungu la Kumi Kanisani Kwako halafu huoni Mafanikio yoyote yale jua hiyo Hela unaitoa huku ukiwa na Usununu ( Hasira ) Moyoni mwako au Wewe ni Mchanganya Maombi na Mzururaji tukuka wa Kutwa kwa Waganga wa Kienyeji.
Akhsante Mungu kwa BARAKA zako!!!
Mkuu hbr ya MudaAsante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni Kawe, Kimara Temboni na huyu mpya wa Buza kwa Lulenge.
Ukiona kila Mwezi unatoa Fungu la Kumi Kanisani Kwako halafu huoni Mafanikio yoyote yale jua hiyo Hela unaitoa huku ukiwa na Usununu ( Hasira ) Moyoni mwako au Wewe ni Mchanganya Maombi na Mzururaji tukuka wa Kutwa kwa Waganga wa Kienyeji.
Akhsante Mungu kwa BARAKA zako!!!
Wee Ni mtu wa maana sna kbsaGENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"