Naomba kujua kwanini ukimtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la 10% kutoka katika Mshahara wako huku ukiwa na Furaha nae hukubariki maradufu?

Amina Mkuu. Yaani nipo radhi / tayari hata nibakiwe na Hela ndogo Mfukoni au katika Akaunti yangu ila Fungu la Kumi lake Mwenyezi Mungu nilitoe / nimtolee na huwa nasikia Furaha mno nikiitoa kwani hata Baraka huwa naziona na Maajabu ya Kimafanikio huwa nayaona.
Sasa mkuu ktk fungu la kumi huwez kusema ukafagie account ili utoe ten percent ,fungu la kumi lzm itokane na kipato ulichopata kipato ghafi baada ya makato yote Kama Kodi ,payee, nk kilicho baki ndio utakitoaa other wise inabdid tukae chini ili upate abcd juu ya saka ,sadaka, malimbuko
 
Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni Kawe, Kimara Temboni na huyu mpya wa Buza kwa Lulenge.

Ukiona kila Mwezi unatoa Fungu la Kumi Kanisani Kwako halafu huoni Mafanikio yoyote yale jua hiyo Hela unaitoa huku ukiwa na Usununu ( Hasira ) Moyoni mwako au Wewe ni Mchanganya Maombi na Mzururaji tukuka wa Kutwa kwa Waganga wa Kienyeji.

Akhsante Mungu kwa BARAKA zako!!!
Wanasema sadaka nzuri ni ile unayoitoa kwa uchungu. Sasa sijui ni mafadha wanatofautiana katika kutufundisha ama ni nini?
 
Kutoa zaka ni tukio ambalo linalotakiwa kuchukuliwa kama sherehe. Sherehe ya kumtuza mfalme Mungu wa miungu. Wengi wanafeli wanapoliona kama msiba. Linakuwa tukio la laana badala ya baraka.

Kutoa zaka ni sawa na kwenda kumtuza Mh Rais ambaye akifurahi anaweza kutoa tamko lolote la kifedha kwako na kila kitu kikawa kama alivyokutamkia.

Kabla sijatoa chochote kwa Mungu huwa nasoma 1 Nyakati 29. Kuboost furaha kwanza.
Niko bibillia sijaona andiko Hilo la sadka katk 1nyakati 29 hkn hbr za sadak kule

Au nawewe unapuyanga
 
Nimeshahama Kawe tokea tarehe 18 February, 2024 na sasa niko Mapinga Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani yaliko Makazi mapya ila Wiki ijayo Mwenyezi Mungu akipenda GENTAMYCINE nayaanza Maisha yangu mapya nchini Uganda kwa Neema na Baraka zake Mola / Maulana.
Hongera mkuu kwa kujenga makaz yako mapinga bagamoyo ila juwa kuwa upo mkoa wa pwani siyo dsm
 
Kawe, Kimara Temboni na huyu mpya wa Buza kwa Lulenge

Mkuu kwa maneno hayo juu Leo nimeamini kumbe kweli unakaa dar,huyu LIKUD kumbe anakusagiaga tu kunguni ,hapo Mkoa wa Mara Kama anavyodai
Hapana Mimi ni Mbugira ( Mshamba ) na siishi Dar es Salaam na wala sipajui japo natamani pia nije Kutembea huko.
 
Huo ni mchezo wa saikolojia tu,

Hata utoe sadaka huku ukiwa na furaha kiasi gani

Hainalishi utatoa ukiwa umekenua.

Sadaka ni mfumo wa dini kukusanya mapato yake,

Hakuna cha ziada.

Kila sehemu ambapo ujinga (ujinga kutokuelewa mambo kwa ufasaha) upo bhasi dini inaweza kuwepo.

Ni muda sasa wa kufanya mapinduzi ya kifikra hasa kwa nchi zetu za Kiafrica ambazo zimeharibiwa vibaya na dini

Hakuna Mungu wala shetani nje ya hadithi tu.

Imani ni shambulio la akili.

#Tenganishadininaserikali.
You must be a CERTIFIED FOOL at JF.
 
Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni Kawe, Kimara Temboni na huyu mpya wa Buza kwa Lulenge.

Ukiona kila Mwezi unatoa Fungu la Kumi Kanisani Kwako halafu huoni Mafanikio yoyote yale jua hiyo Hela unaitoa huku ukiwa na Usununu ( Hasira ) Moyoni mwako au Wewe ni Mchanganya Maombi na Mzururaji tukuka wa Kutwa kwa Waganga wa Kienyeji.

Akhsante Mungu kwa BARAKA zako!!!
Wakati unatoa umeshaacha kutafuna watoto weupe wakali wakali au full mchanganyiko!maana Bwana hapendi mchanganyo!!
 
Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni Kawe, Kimara Temboni na huyu mpya wa Buza kwa Lulenge.

Ukiona kila Mwezi unatoa Fungu la Kumi Kanisani Kwako halafu huoni Mafanikio yoyote yale jua hiyo Hela unaitoa huku ukiwa na Usununu ( Hasira ) Moyoni mwako au Wewe ni Mchanganya Maombi na Mzururaji tukuka wa Kutwa kwa Waganga wa Kienyeji.

Akhsante Mungu kwa BARAKA zako!!!
Ahahahahaha! GENTAMYCINE utakuwa umefungua Kanisa wewe! Ahahahahaha!!!!
 
ZAKA hatutoi, tunalipa.

ZAKA inalipwa Kwa kuwa mbingu na Nchi na vyote vilivyomo ni Mali ya Mungu, ametupea vyote KAZI ikiwemo, tunapay back 1/10.

Mfumo wa mapato ya mwanadamu uko kama ifuatavyo.

Mungu akikubariki kupata mapato ya 1m per month,

Ukalipa ZAKA 100,000, sadaka na matoleo mengine 100,000, ukabakiwa na 800,000 ukaitumia hiyo,

Mungu anachokifanya, ni kuigeuza Ile laki 2 uliyolipa kuwa 1 ml Ili uendelee kulipa ZAKA bila kupungukiwa.

Na mlipa ZAKA hapungukiwi, pesa yake hutoboa Hadi mwisho wa mwezi hata kama ni kidogo.

Asiyelipa ZAKA, lazima atumbukie kwenye madeni sababu anakula ZAKA ambayo ni mbegu.

Walioijua Siri hii wanaishi maisha yasiyo na stress.

Ubarikiwe.
 
Mkuu Zaka ndiyo hii Fungu la Kumi nilisemalo au?
 
NDIO hiyo.

Ukilipa hiyo Mungu huzuia vigagula, CHUMA ulete wasiweze kutoboa mifumo Yako kupitia HASARA, magonjwa, misiba nk nk.

Kiufupi mlipa zaka Kwa uaminifu harogeki hata kama wachawi watatumia madhabahu ya Tanga,na hata wakiungana wachawi wa Afrika nzima, hawatoweza!!
 
Asante sana Mkuu kwa hii Elimu yako.
 
Sasa mkuu ktk fungu la kumi huwez kusema ukafagie account ili utoe ten percent ,fungu la kumi lzm itokane na kipato ulichopata kipato ghafi baada ya makato yote Kama Kodi ,payee, nk kilicho baki ndio utakitoaa other wise inabdid tukae chini ili upate abcd juu ya saka ,sadaka, malimbuko
ZAKA unalipa kwenye Gross salary Si katika net pay.

Ukilipa ZAKA Kutoka net pay, tafsiri yake NSSF hujailipia ZAKA . Mungu ni WA kwanza KABLA ya Kodi, NSSF, nk nk

Lipa Kwa Imani na Kwa furaha uone matokeo.
 
Back
Top Bottom