teacher x
Member
- Oct 25, 2013
- 94
- 62
Miongozo ndo hiyo kutoa zaka kamili kwahiyo hao unaosema wanatoa na hawapati yawezekana hawatoi zaka kamiliMuda mwingine huwa nawaza kwa Mungu hamna muongozo. (Hayana muongozo)
Kuna watu wanatoa fungu la Kumi kwa uaminifu bila masononeko lkn bado biashara zao zinakufa
Wengine hawatoi biashara zao zinakua bila kutumia hata ndumba...
Mimi huwa nina moyo wa kumsaidia mtu mwenye shida kumpa mtu 500 sio tatizo kama ninayo... Niligundua muda tu ninapotoa hela na mimi napata hela.
Hayanaga muongozo kila mtu na bahati yake...Muda mwingine Mungu haeleweki[emoji17]