Naomba kujua kwanini ukimtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la 10% kutoka katika Mshahara wako huku ukiwa na Furaha nae hukubariki maradufu?

Sasa mkuu ktk fungu la kumi huwez kusema ukafagie account ili utoe ten percent ,fungu la kumi lzm itokane na kipato ulichopata kipato ghafi baada ya makato yote Kama Kodi ,payee, nk kilicho baki ndio utakitoaa other wise inabdid tukae chini ili upate abcd juu ya saka ,sadaka, malimbuko
 
Wanasema sadaka nzuri ni ile unayoitoa kwa uchungu. Sasa sijui ni mafadha wanatofautiana katika kutufundisha ama ni nini?
 
Niko bibillia sijaona andiko Hilo la sadka katk 1nyakati 29 hkn hbr za sadak kule

Au nawewe unapuyanga
 
Hongera mkuu kwa kujenga makaz yako mapinga bagamoyo ila juwa kuwa upo mkoa wa pwani siyo dsm
 
Kawe, Kimara Temboni na huyu mpya wa Buza kwa Lulenge

Mkuu kwa maneno hayo juu Leo nimeamini kumbe kweli unakaa dar,huyu LIKUD kumbe anakusagiaga tu kunguni ,hapo Mkoa wa Mara Kama anavyodai
Hapana Mimi ni Mbugira ( Mshamba ) na siishi Dar es Salaam na wala sipajui japo natamani pia nije Kutembea huko.
 
You must be a CERTIFIED FOOL at JF.
 
Wakati unatoa umeshaacha kutafuna watoto weupe wakali wakali au full mchanganyiko!maana Bwana hapendi mchanganyo!!
 
Ahahahahaha! GENTAMYCINE utakuwa umefungua Kanisa wewe! Ahahahahaha!!!!
 
ZAKA hatutoi, tunalipa.

ZAKA inalipwa Kwa kuwa mbingu na Nchi na vyote vilivyomo ni Mali ya Mungu, ametupea vyote KAZI ikiwemo, tunapay back 1/10.

Mfumo wa mapato ya mwanadamu uko kama ifuatavyo.

Mungu akikubariki kupata mapato ya 1m per month,

Ukalipa ZAKA 100,000, sadaka na matoleo mengine 100,000, ukabakiwa na 800,000 ukaitumia hiyo,

Mungu anachokifanya, ni kuigeuza Ile laki 2 uliyolipa kuwa 1 ml Ili uendelee kulipa ZAKA bila kupungukiwa.

Na mlipa ZAKA hapungukiwi, pesa yake hutoboa Hadi mwisho wa mwezi hata kama ni kidogo.

Asiyelipa ZAKA, lazima atumbukie kwenye madeni sababu anakula ZAKA ambayo ni mbegu.

Walioijua Siri hii wanaishi maisha yasiyo na stress.

Ubarikiwe.
 
Mkuu Zaka ndiyo hii Fungu la Kumi nilisemalo au?
 
Mkuu Zaka ndiyo hii Fungu la Kumi nilisemalo au?
NDIO hiyo.

Ukilipa hiyo Mungu huzuia vigagula, CHUMA ulete wasiweze kutoboa mifumo Yako kupitia HASARA, magonjwa, misiba nk nk.

Kiufupi mlipa zaka Kwa uaminifu harogeki hata kama wachawi watatumia madhabahu ya Tanga,na hata wakiungana wachawi wa Afrika nzima, hawatoweza!!
 
Asante sana Mkuu kwa hii Elimu yako.
 
ZAKA unalipa kwenye Gross salary Si katika net pay.

Ukilipa ZAKA Kutoka net pay, tafsiri yake NSSF hujailipia ZAKA . Mungu ni WA kwanza KABLA ya Kodi, NSSF, nk nk

Lipa Kwa Imani na Kwa furaha uone matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…