Naomba kujua kwanini ukimtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la 10% kutoka katika Mshahara wako huku ukiwa na Furaha nae hukubariki maradufu?

Miongozo ndo hiyo kutoa zaka kamili kwahiyo hao unaosema wanatoa na hawapati yawezekana hawatoi zaka kamili
 
wale waliochangia form ya sa100 kwa ajiri ya lugombe urais 2025 wamepewa nn?

acha kumfananisha Mungu na rais tafadhari ndio maana waislam huwacheka sana
 
Kwani hiyo Hela naitoa katika Mshahara wako au wangu Mimi GENTAMYCINE? Nasubiria jibu lako Wewe Zozola ( Mjinga ) sawa?
Unatoa kwenye mshahara ila nakuonea huruma kwani kati ya mazuzu wewe ni mwenyekiti. Unajigamba una akili ila ukashindwa kuelewa namna ulivyodanganywa ili uuponde utamaduni wako na kuiga utamaduni wao. Christianity is a slave morality.
 
Kikubwa umemtolea Mwenyezi Mungu na anaona hivyo utaendelea Kubarikiwa nae hata kama hao Wajanja wako wataila huku wakisubiria Laana yao ambayo itawala Kizazi na Kizazi.
Hiyo sehemu ya kumi ni kwa nini usimpe jirani unaemfahamu kweli hajiwezi? My friend, religion is a business.
 
C
Kichwa maji
 
Kwani hiyo Hela naitoa katika Mshahara wako au wangu Mimi GENTAMYCINE? Nasubiria jibu lako Wewe Zozola ( Mjinga ) sawa?
Unaposema hiyo pesa unatoa wewe na sio mimi ni kuishiwa hoja, tena ukaniita mjinga pasipo kujua vidole vitatu vinakuelekea wewe, yaani wewe ni mara 3.
 
Mkono utoao ndio hupokea
 
Nimejifunza kitu, Mungu akubariki
 
Sina imani na uwepo wa huyo Mungu wala sitoi chochote kwa kiumbe ambacho hakipo na wala sioni nikilaaniwa wala kukosa chochote, kuna mambo ukijiendekeza na akili inakudanganya kuwa ni ya kweli.
 
Hapo ndio linapokuja swala la destiny.
 
Mwizi,tapeli,anaejiuza hao wote nao wanatakiwa watoe fungu la kumi.
 
Kuna baraka sana kwenye utoaji,ni sahihi
 
Kawe, Kimara Temboni na huyu mpya wa Buza kwa Lulenge

Mkuu kwa maneno hayo juu Leo nimeamini kumbe kweli unakaa dar,huyu LIKUD kumbe anakusagiaga tu kunguni ,hapo Mkoa wa Mara Kama anavyodai
kibopko ya wachawi shuka buza kwa lulenge mwambie bodaboda naenda kwa nabii kiboko ya wachawi utakuwa umefika haahaa.
kuna mwingine alikuwa tabata segerea anaitwa peter nyaga nae ni wachawi na uganga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…