Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi
Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara Nk
Pia inaweza kujenga Barabara SINGIDA Katavi Mwanza nk
Lakini utalii ni moja ya sekta muhimu inayochangia pato la taifa ikiwemo ngorongoro conservation
Swali nalo jiuliza Kama tukiruhusu hifadhi zetu zivamie na watu nini matokeo yake
Pili ni kawaida kwa serikali yoyote Kusimamia na kulinda Rasilimali za nchi yake je tuachilie Kila MTU au kilindi kivamie tu hifadhi kwa maslahi yake binafsi
Tanzania ni kubwa na Eneo la kuishi kwa raia wake ni kubwa
lakini wanyama wa Ngorongoro hawawezi kuishi Kila mahali
na tukiamua hivyo haitakuwa mbuga Ila Zoo ya wanyama na watalii wengi wanapenda mbuga za asili sio zoo hata kwao zipo
Tuache mihemko na siasa kwenye hili tuangalie maslahi mapana ya Sasa na baadae ya nchi yetu
Na Kama ndivyo Basi tuache kila jamii iliyokaribu na mbuga wavamie Kila ajikatie kipande chake
Wachaga wavamie misitu ya mount Kilimanjaro, wamasai wa Amie manyama, wasukuma wafukuzwe wawekezaji wa madini waxhimbe wenyewe,
Tujue hutana mbuga za wanyama tuchunge huko Ng'ombe na mbuzi
Ziwe Ranchi kubwa
Ni mawazo yangu tu
Karibuni Great Thinker