Kama Wanzanzibar wote wanaweza kuhamishwa na Zanzibari Kufutwa kwa nini isiwezekane kwa Ngorongoro na wamasai? Wote si ni binadamu!Kwa hiyo unashauri mbuga ya Ngongoro ifutwe ibaki kuwa Eneo la masai kuchungia sio ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Wanzanzibar wote wanaweza kuhamishwa na Zanzibari Kufutwa kwa nini isiwezekane kwa Ngorongoro na wamasai? Wote si ni binadamu!Kwa hiyo unashauri mbuga ya Ngongoro ifutwe ibaki kuwa Eneo la masai kuchungia sio ???
Ardhi Tanzania ni mali ya umma na mamlaka ya kumirikisha matumizi yake yako kwa Rais wa nchi. Kwa msingi huo, bado haki ya kila mwananchi kumilikiMpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi
Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara Nk
Pia inaweza kujenga Barabara SINGIDA Katavi Mwanza nk
Lakini utalii ni moja ya sekta muhimu inayochangia pato la taifa ikiwemo ngorongoro conservation
Swali nalo jiuliza Kama tukiruhusu hifadhi zetu zivamie na watu nini matokeo yake
Pili ni kawaida kwa serikali yoyote Kusimamia na kulinda Rasilimali za nchi yake je tuachilie Kila MTU au kilindi kivamie tu hifadhi kwa maslahi yake binafsi
Tanzania ni kubwa na Eneo la kuishi kwa raia wake ni kubwa
lakini wanyama wa Ngorongoro hawawezi kuishi Kila mahali
na tukiamua hivyo haitakuwa mbuga Ila Zoo ya wanyama na watalii wengi wanapenda mbuga za asili sio zoo hata kwao zipo
Tuache mihemko na siasa kwenye hili tuangalie maslahi mapana ya Sasa na baadae ya nchi yetu
Na Kama ndivyo Basi tuache kila jamii iliyokaribu na mbuga wavamie Kila ajikatie kipande chake
Wachaga wavamie misitu ya mount Kilimanjaro, wamasai wa Amie manyama, wasukuma wafukuzwe wawekezaji wa madini waxhimbe wenyewe,
Tujue hutana mbuga za wanyama tuchunge huko Ng'ombe na mbuzi
Ziwe Ranchi kubwa
Ni mawazo yangu tu
Karibuni Great Thinker
Ili tuweze kujadili kinachoendelea huko Ngorongoro, ni muhimu kujua umiliki wa ardhi kisheria Tanzania.Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi
Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara Nk
Pia inaweza kujenga Barabara SINGIDA Katavi Mwanza nk
Lakini utalii ni moja ya sekta muhimu inayochangia pato la taifa ikiwemo ngorongoro conservation
Swali nalo jiuliza Kama tukiruhusu hifadhi zetu zivamie na watu nini matokeo yake
Pili ni kawaida kwa serikali yoyote Kusimamia na kulinda Rasilimali za nchi yake je tuachilie Kila MTU au kilindi kivamie tu hifadhi kwa maslahi yake binafsi
Tanzania ni kubwa na Eneo la kuishi kwa raia wake ni kubwa
lakini wanyama wa Ngorongoro hawawezi kuishi Kila mahali
na tukiamua hivyo haitakuwa mbuga Ila Zoo ya wanyama na watalii wengi wanapenda mbuga za asili sio zoo hata kwao zipo
Tuache mihemko na siasa kwenye hili tuangalie maslahi mapana ya Sasa na baadae ya nchi yetu
Na Kama ndivyo Basi tuache kila jamii iliyokaribu na mbuga wavamie Kila ajikatie kipande chake
Wachaga wavamie misitu ya mount Kilimanjaro, wamasai wa Amie manyama, wasukuma wafukuzwe wawekezaji wa madini waxhimbe wenyewe,
Tujue hutana mbuga za wanyama tuchunge huko Ng'ombe na mbuzi
Ziwe Ranchi kubwa
Ni mawazo yangu tu
Karibuni Great Thinker
Ardhi Tanzania ni mali ya umma na mamlaka ya kumirikisha matumizi yake yako kwa Rais wa nchi. Kwa msingi huo, bado haki ya kila mwananchi kumiliki
Ili tuweze kujadili kinachoendelea huko Ngorongoro, ni muhimu kujua umiliki wa ardhi kisheria Tanzania.
Ardhi ni sehemu yote iliyo juu na chini ya uso wa nchi, vitu
vyote vyenye kuota kiasili juu ya nchi, majengo na miundo
mingineyo iliyokaziwa kwa kudumu juu ya ardhi
Ifuatayo ni baadhi ya misingi halisi ya ardhi kama
ilivyoainishwa kwenye mwongozo wa ardhi wa kitaifa (sera) na kutafsiriwa na sheria mbalimbali za nchi:
i. Ardhi yote ni mali ya umma na imekabidhiwa kwa Raisi kama mdhamini (msimamizi) mkuu kwa niaba ya watanzania wote;
ii. Kulinda haki zote za miliki za ardhi zilizopo, yaani miliki ya ardhi ya kimila na ile ya kiserikali;
iii. Kugawa ardhi kwa haki na kwa raia wote wa Tanzania;
iv. Kudhibiti kiasi ambacho mtu mmoja au taasisi yaweza kumiliki na kutumia kwa mahitaji yake bila kuwaathiri
Watanzania au wanajamii wengine;
v. Kuwezesha utumiaji endelevu wa ardhi katika shughuli za kiuzalishaji kwa manufaa ya wote;
vi. Kuhakikisha kwamba maslahi yeyote katika ardhi yana thamani na yanalindwa katika muda wowote wakati wa mapatano yanayoweza kuathiri thamani ya mmiliki;
vii. Kulipa fidia kamili na kwa wakati kwa mtu yeyote ambaye haki miliki ya ardhi yake inafutwa, inabadilishwa au inaingiliwa kwa namna yeyote na serikali kwa manufaa ya umma na yeye kuathirika na zoezi hilo; nk
Swali, Je, misingi hiyo imezingatiwa?
kabisa, magufuli aliwahamisha wasukuma na waha katika pori tengefu la kazirankanda, tena akawachomea moto na manyumba, leo pori la kazirankanda lina zimba pori tena walionawiri na twiga nyati na uoto wa asili wenye kupendeza.Sipo kihisia wala kimihemko...
Sipo kisiasa wala kimakundi...
Siko kitanganyika wala kikabila...
NGORORONGO NI TURATHI YA DUNIA .
Si mara ya kwanza kwa wafugaji kuhamishwa....
Mwaka 1951 wafugaji wa kabila la kimaasai walihamishwa kutoka SERENGETI ili tuwe na Serengeti national Park.....
Selous
Wananchi wa kabila la Kindengereki na kimatumbi walihamishwa hapo Selous kupisha "GOVERNMENT NOTICE" ya kuwa HIFADHI YA WANYAMAPORI.....
Tukiweka hisia pembeni tutauona UHALISIA wa wema wa serikali yetu adhimu juu ya UHIFADHI wa haya maeneo nyeti kwa kulinda mazingira ya dunia na pia kuongeza mapato kupitia SEKTA ya UTALII...
#Tanzania ni moja[emoji7]
#Umilele wa JMT [emoji7]
#Nchi Kwanza [emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Jibu hoja mkuu
Tuwaache wamasai waharibu mbuga au tuilinde mbuga ya ngongoro
watalii wanalipa ushuru tunapata pesa ya kuendesha nchi 87% ya fedha za kigeni zinatokana na utalii, hao wamasai wanaindiza dola ngapi kwa mwaka kwenye uchumi wetu, kama wamasai wana umuhimu wa kukaa serengeti ngorongoro tufute hifadhi hizo wamasai wagawane mashamba halafu mtuambie hii 87% tutaipata wapi..maelfu ya magari ya watalii yanaharibu mbuga kuliko Wamaasai na ng'ombe wao.
..ujenzi wa mahoteli, na makambi ya kulala watalii, ndani ya hifadhi, unaharibu mazingira ktk mbuga zetu.
..busara itumike kuweka mzani sahihi kati ya mazingira, Wamaasai, na shughuli za kitalii.
Shukran mkuu wangu [emoji7]Aha
Ahsante mkuu kwa kuwa na akili Pevu na ya kuona mbali
[emoji7]Jamii ya wamasai ni kubwa Sana kuanzia Kenya na maeneo mengine ya nchi yetu na wanaishi vizuri bila bughudha
So ni sahihi kusema ni kakikundi Cha watu wachache Sana ukilingilinganisha na jamii nzima ya wamasai
Pia ukilinganisha na maslahi mapana ya watanzania million sitini
Kusema Ng'ombe wa masai ni Bora kuliko Mbuga za wanyama
Ni kuweka akili pembeni na kutumia hisia na mihemko
[emoji1787][emoji1787][emoji7]Kwa hiyo unashauri mbuga ya Ngongoro ifutwe ibaki kuwa Eneo la masai kuchungia sio ???
watalii wanalipa ushuru tunapata pesa ya kuendesha nchi 87% ya fedha za kigeni zinatokana na utalii, hao wamasai wanaindiza dola ngapi kwa mwaka kwenye uchumi wetu, kama wamasai wana umuhimu wa kukaa serengeti ngorongoro tufute hifadhi hizo wamasai wagawane mashamba halafu mtuambie hii 87% tutaipata wapi
Wamaasai wamebaki baaada ya kusimama kidete, anzisha uzi mwingine wa kujiliza.Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi
Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara Nk
Pia inaweza kujenga Barabara SINGIDA Katavi Mwanza nk
Lakini utalii ni moja ya sekta muhimu inayochangia pato la taifa ikiwemo ngorongoro conservation
Swali nalo jiuliza Kama tukiruhusu hifadhi zetu zivamie na watu nini matokeo yake
Pili ni kawaida kwa serikali yoyote Kusimamia na kulinda Rasilimali za nchi yake je tuachilie Kila MTU au kilindi kivamie tu hifadhi kwa maslahi yake binafsi
Tanzania ni kubwa na Eneo la kuishi kwa raia wake ni kubwa
lakini wanyama wa Ngorongoro hawawezi kuishi Kila mahali
na tukiamua hivyo haitakuwa mbuga Ila Zoo ya wanyama na watalii wengi wanapenda mbuga za asili sio zoo hata kwao zipo
Tuache mihemko na siasa kwenye hili tuangalie maslahi mapana ya Sasa na baadae ya nchi yetu
Na Kama ndivyo Basi tuache kila jamii iliyokaribu na mbuga wavamie Kila ajikatie kipande chake
Wachaga wavamie misitu ya mount Kilimanjaro, wamasai wa Amie manyama, wasukuma wafukuzwe wawekezaji wa madini waxhimbe wenyewe,
Tujue hutana mbuga za wanyama tuchunge huko Ng'ombe na mbuzi
Ziwe Ranchi kubwa
Ni mawazo yangu tu
Karibuni Great Thinker
Hivi wale N'gombe na mbuzi wawamasai na midege inayotua na mishughuli mizito inayoendelea na nani anahatarisha wanyama na uoto wa asili wa mbuga ya ngorongoro au ndio walewale tuu nafikiri uelewi tembelea siku moja kabla ya kujadili.Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi