Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
đź–•Una uhakika na unachokisema au unajibu tu kimehemko na kihisia bila kutumia akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
đź–•Una uhakika na unachokisema au unajibu tu kimehemko na kihisia bila kutumia akili
Wamasai wa Ngorongoro sio kikundi cha watu. Ni jamii inayoishi hapo. Kama kweli watu hawatakiwi kule kusingejengwa majengo ya hoteli nyota tano na wengine kupewa vitalu vya kuwinda. Chagueni kuwaheshimu watu wenu au wageni. Kuhusu kuchangia uchumi huwezi kujilinganisha wewe mwenye ajira ya laki 7 hapo mjini na mmasai mwenye ngongmbe 500.Ni zaidi ya uwendawazimu na kukosa akili kuharibu rasilimali zenye maslahi mapana ya Taifa Zima na kuruhusu kakikundi Cha watu kifugie Ng'ombe ambao hawawezi kuchangia hata Asilimia 0.01
Nisaidie kujua kwanza elimu yako mkuuKama suala ni kipato, uzeni hao wanyama mjenge viwanda vya uzalishaji huko ngorongoro. Hata hivyo kuhama huko ngorongoro ni hiari, au mmebalisha?
La saba mkuu wangu, ila ninajua kusoma na kuandika kiswahili kwa ufasaha.Nisaidie kujua kwanza elimu yako mkuu
Nisije nikakuuliza maswali yaliyokuzidi uwezo
Maana kwa hili jibu limeshanipa mashaka juu ya uwezo wako wa kudifikiri
Jamii ya wamasai ni kubwa Sana kuanzia Kenya na maeneo mengine ya nchi yetu na wanaishi vizuri bila bughudhaWamasai wa Ngorongoro sio kikundi cha watu. Ni jamii inayoishi hapo. Kama kweli watu hawatakiwi kule kusingejengwa majengo ya hoteli nyota tano na wengine kupewa vitalu vya kuwinda. Chagueni kuwaheshimu watu wenu au wageni. Kuhusu kuchangia uchumi huwezi kujilinganisha wewe mwenye ajira ya laki 7 hapo mjini na mmasai mwenye ngongmbe 500.
Inawezekana miaka 100 ijayo Tukawa na GOVERNMENT NOTICE ya kuwahamisha WAZANZIBAR wote kwenda mkoani shinyanga ili kuvinusuru visiwa vya Unguja na Pemba kwa sababu idadi yao inaongezeka sana kutoka watu 300, 000 mwaka 1964 mpaka watu 1,800,000 mwaka 2024.Sipo kihisia wala kimihemko...
Sipo kisiasa wala kimakundi...
Siko kitanganyika wala kikabila...
NGORORONGO NI TURATHI YA DUNIA .
Si mara ya kwanza kwa wafugaji kuhamishwa....
Mwaka 1951 wafugaji wa kabila la kimaasai walihamishwa kutoka SERENGETI ili tuwe na Serengeti national Park.....
Selous
Wananchi wa kabila la Kindengereki na kimatumbi walihamishwa hapo Selous kupisha "GOVERNMENT NOTICE" ya kuwa HIFADHI YA WANYAMAPORI.....
Tukiweka hisia pembeni tutauona UHALISIA wa wema wa serikali yetu adhimu juu ya UHIFADHI wa haya maeneo nyeti kwa kulinda mazingira ya dunia na pia kuongeza mapato kupitia SEKTA ya UTALII...
#Tanzania ni moja[emoji7]
#Umilele wa JMT [emoji7]
#Nchi Kwanza [emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wamasai waachwe waishi kwenye ardhi yao kama jamii nyingine wanavyoishi kwenye ardhi zao. Tukiendelea kukubali huu mfumo wa kuhamisha watu kuna siku watakuja wakoloni watupeleke antactica kwa kudai eti ardhi ni urithi wa dunia. Kwanza hiyo dunia ni akina nani?Jamii ya wamasai ni kubwa Sana kuanzia Kenya na maeneo mengine ya nchi yetu na wanaishi vizuri bila bughudha
So ni sahihi kusema ni kakikundi Cha watu wachache Sana ukilingilinganisha na jamii nzima ya wamasai
Pia ukilinganisha na maslahi mapana ya watanzania million sitini
Kusema Ng'ombe wa masai ni Bora kuliko Mbuga za wanyama
Ni kuweka akili pembeni na kutumia hisia na mihemko
Hata la Saba bado mkuu labda Kama hukujituma vizuri kujipa maarifa ya elimu yetu Bora kabisa ya shule ya msingiLa saba mkuu wangu, ila ninajua kusoma na kuandika kiswahili kwa ufasaha.
Hata la Saba bado mkuu labda Kama hukujituma vizuri kujipa maarifa ya elimu yetu Bora kabisa ya shule ya msingiLa saba mkuu wangu, ila ninajua kusoma na kuandika kiswahili kwa ufasaha.
Tuache unafiki mkuuWamasai waachwe waishi kwenye ardhi yao kama jamii nyingine wanavyoishi kwenye ardhi zao. Tukiendelea kukubali huu mfumo wa kuhamisha watu kuna siku watakuja wakoloni watupeleke antactica kwa kudai eti ardhi ni urithi wa dunia. Kwanza hiyo dunia ni akina n
Kwa hiyo unashauri mbuga ya Ngongoro ifutwe ibaki kuwa Eneo la masai kuchungia sio ???Inawezekana miaka 100 ijayo Tukawa na GOVERNMENT NOTICE ya kuwahamisha WAZANZIBAR wote kwenda mkoani shinyanga ili kuvinusuru visiwa vya Unguja na Pemba kwa sababu idadi yao inaongezeka sana kutoka watu 300, 000 mwaka 1964 mpaka watu 1,800,000 mwaka 2024.
Baada ya wanzanzibar wote kuhamishwa Kwenda mkoani Shinyanga, serkali itakodisha visiwa vyote vya unguja na pemba kwa mataji wa Kichina ili kuimarisha sekta ya utalii visiwani humo. Asanteni kwa kunisikiliza!
Hizi ndo akili zako siođź–•
Nakushauri, sio kila wazo lako lazima ulilete humu, hata kama una elimu ya kukariri. Pia jitahidi kwenye matumizi, ya herufi kubwa na ndogo, koma na nukta. Hapo hiyo elimu yako ya mchongo inayokupa kiburi itakuwa na maana. Kinyume na hapo nyie ndio mtakuwa mlienda shule kujaza vyoo.Hata la Saba bado mkuu labda Kama hukujituma vizuri kujipa maarifa ya elimu yetu Bora kabisa ya shule ya msingi
Nikushauri tu sio lazima uchangie Kila mada
Wale kiasil n ardh yao maana walikuwa hapo toka enz ya mjeruman aka mwingereza akamwacha akaja Tanganyika akamwacha sasa Tanzania hapo serkali iangalie namna bora ya kuwaamisha iv lakn serkali ilikuwa wapi mda wote mpaka watu wakawa wng kias kle ila serkali za kiafrka aina vision ya baadae cheki sasaMpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi
Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara Nk
Pia inaweza kujenga Barabara SINGIDA Katavi Mwanza nk
Lakini utalii ni moja ya sekta muhimu inayochangia pato la taifa ikiwemo ngorongoro conservation
Swali nalo jiuliza Kama tukiruhusu hifadhi zetu zivamie na watu nini matokeo yake
Pili ni kawaida kwa serikali yoyote Kusimamia na kulinda Rasilimali za nchi yake je tuachilie Kila MTU au kilindi kivamie tu hifadhi kwa maslahi yake binafsi
Tanzania ni kubwa na Eneo la kuishi kwa raia wake ni kubwa
lakini wanyama wa Ngorongoro hawawezi kuishi Kila mahali
na tukiamua hivyo haitakuwa mbuga Ila Zoo ya wanyama na watalii wengi wanapenda mbuga za asili sio zoo hata kwao zipo
Tuache mihemko na siasa kwenye hili tuangalie maslahi mapana ya Sasa na baadae ya nchi yetu
Na Kama ndivyo Basi tuache kila jamii iliyokaribu na mbuga wavamie Kila ajikatie kipande chake
Wachaga wavamie misitu ya mount Kilimanjaro, wamasai wa Amie manyama, wasukuma wafukuzwe wawekezaji wa madini waxhimbe wenyewe,
Tujue hutana mbuga za wanyama tuchunge huko Ng'ombe na mbuzi
Ziwe Ranchi kubwa
Ni mawazo yangu tu
Karibuni Great Thinker
Nimeita Gt sio Kila MTU mkuuNakushauri, sio kila wazo lako lazima ulilete humu, hata kama una elimu ya kukariri. Pia jitahidi kwenye matumizi, ya herufi kubwa na ndogo, koma na nukta. Hapo hiyo elimu yako ya mchongo inayokupa kiburi itakuwa na maana. Kinyume na hapo nyie ndio mtakuwa mlienda shule kujaza vyoo.
Ahsante mkuu umemchangia kwa hekima na kwa busaraWale kiasil n ardh yao maana walikuwa hapo toka enz ya mjeruman aka mwingereza akamwacha akaja Tanganyika akamwacha sasa Tanzania hapo serkali iangalie namna bora ya kuwaamisha iv lakn serkali ilikuwa wapi mda wote mpaka watu wakawa wng kias kle ila serkali za kiafrka aina vision ya baadae cheki sasa
Ahsante mkuuHapo tuchague moja kati ya haya.
1. Hifadhi hiyo iwe pori la kufugia mifugo na watu wengine pia waruhusiwe kuingiza mifugo. Nasema hivi kwasababu watu wanaongezeka na idadi ya mifugo inaongezeka kiasi cha kuhitaji eneo kubwa la makazi na kuchungia mifugo yao.
Je itakuwa busara kuacha mifugo, wanyamapori na wanadamu kuishi pamoja endapo idadi ya mifugo itakuwa kubwa zaidi ya sasa? Ni bora pawe pori la ufugaji.
2. Hifadhi ilindwe kwa kuwaondoa wote wanaoishi humo. Hii itasaidia wanyamapori kufurahia maisha mwitu yenye asili yao kuliko kulazimisha kuwachanganya na mifugo pamoja na wanadamu.
Wapo wanaosema wameishi pamoja miaka mingi, sijui kama wanajiuliza kuhusu ongezeko la watu na mifugo na athari zake.
Idadi ya mifugo na watu inaongezeka kwa speed kubwa kwasababu wenzetu wale hawana elimu ya uzazi wa mpango, kumkuta kijana wa miaka 25 anawatoto wa5 ni kawaida. Kwa mwenendo huo sehemu hiyo itatawaliwa na shughuli za kibinadamu.