Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

Wangine wakinga tuliolewea DSM basi shida tupu hujui kilugha na conmection za wakinga wenzio unazisikia kwa redio.
 
Mchina anapanga bei yake, we unauza juu kidogo na ganji zako anakupa freshi wala hawanaga mbambamba. Vimeo vikitokea anakutanguliza wewe uongee na mamlaka. Wachina ni watu wa kugawanya kwa mbili sana atataka kusikia ni rushwa kiasi gani wapoozwe watembee.
Nimeleewa
 
Wavivu tu ndio wanahisi wakinga wachawi [emoji23][emoji23][emoji23]
So proud of you. Wengi hawajui watu hutumia njia tofauti kupata mafanikio.

Hawajui watu hukesha kuomba Mungu, hufunga novena. Wao wamekariri ushirikina
 
So proud of you. Wengi hawajui watu hutumia njia tofauti kupata mafanikio.

Hawajui watu hukesha kuomba Mungu, hufunga novena. Wao wamekariri ushirikina
Hawajui tu tunavyoenyeka kusali na kubana matumizi yasiyo ya lazima hao.
 
Wasikutishe baby [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Ingekua ni hivyo wote watu wasingekua wanafanya kazi wangekua wanakesha huko tu

Biashara ni akili. Hata uzunguke kwa waganga wote kama akili haupp hutoboi
 
Kwani mishahara ya wauza duka la nguo Kariakoo, inapangwa na Serikali, au wafanya biashara wa maduka ya nguo walipanga kwa pamoja kiasi cha kuwalipa wafanyakazi wao.
 
Ingekua ni hivyo wote watu wasingekua wanafanya kazi wangekua wanakesha huko tu

Biashara ni akili. Hata uzunguke kwa waganga wote kama akili haupp hutoboi
Washinde kwa waganga waroge halafu walale ndani waone km pesa zitakuja?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuaminika na mchina aiseee ni kipengele sana lazima uwe unasafiri sana 😁😁elewa neno kusafiri
Tena nyie wakinga lazima muende nyumbanitu
Mchina anaangalia kama unanunua mara kwa mara. Kama frequency yako ni nzuri anakuamini.
 
Back
Top Bottom