Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

Naomba kujua mshahara wa muuza duka la nguo Kariakoo

Mshahara ni makubaliano ,hakuna standard ndiyo maana wapo watu wanafanya kitengo kimoja na kazi hiyo hiyo lakini mshahara wanatofautiana ,huwezi kuanza kuuza duka leo ulipwe sawa na utakaowakuta hapo...Uliza uliowakuta wanalipwaje na wewe upunguze 50-100k.
 
Back
Top Bottom