Naomba kujua Rais Samia anasifiwa kwa ukimya upi?

Atasema nini wakati mlungula kashachukua na watu hawautaki mkataba?
 
Yaani kukaa kimya kiongozi wa nchi!!!? Au nchi unaifananisha na kundi la mipasho la Taarabu?

Nyie wenzetu pambanieni Elmo dunia
 
Nimeku
Umekimbilia kukoment bila kunisoma vizuri au kunielewa vizuri. Kiongozi mwenye hekima anatakiwa kujua ni wapi na lini na nini aseme au ajibu na kukaa kimya haimaanishi kwamba hakuna jibu ,laa hasha!

Yesu aliposhtakiwa kwa Pilato, alikaa kimya sio kwamba hakuweza kujibu ila ni busara kubwa. Alipoulizwa Je, wewe ni mwana wa Mungu? Alipojibu Mimi ndimi wewe wasema ,hapo hapo wakaanza kumpiga kwamba kakufuru.

Hapo tunapata funzo Moja kubwa, kama mtu yupo tayari kukuhukumu hata umpe jibu Gani ukimya ndio jibu kubwa Kwa sababu either ujibu au usijibu atakuhukumu Kwa namna ileile.

Na hapa ndio nimeziona hekima ya Rais Samia kwa kuamua kukaa kimya, hao wanaomuhukumu Kwa kuuza bandari au nchi unadhani Rais akisema hajauza wataridhika na jibu Hilo?
 
Yaani kukaa kimya kiongozi wa nchi!!!? Au nchi unaifananisha na kundi la mipasho la Taarabu?

Nyie wenzetu pambanieni Elmo dunia
Hakuna jibu litakalomfurahisha mjinga zaidi ya Ujinga wake , ukielewa maana ya msemo huu hutopata tabu.
 
Hakuna chuo wala shule inayofundisha hekima ila hekima yote inatoka kwa Bwana ,kwa hiyo ukitaka tutaifsiri hekima katika mzaha wa kisiasa hapo ni makosa.

Umeshasema nchi Ipo vitani maana yake unatakiwa kupambana lakini hekima ya kiongozi inatakiwa kuzuia vita isitokee na kukaa kimya kinaweza kuzuia vita. Kwa mfano, unaletewa chokochoko na wewe ukaamua kujibu hizo chokochoko maana yake unataka kuingia vitani lakini ukiacha kujibu unaweza kuepusha vita. Ipi busara na Hekima hapo?
 
EEEeeenHeeeeeeeH!

Na Picha ya Bendera yetu ilipopanda, na Mama yetu mpendwa kuonyeshwa hapo, tukaambiwa sisi hatutalipia chochote kwa kazi hiyo, kama wanavyofanya wengine wote, kwa vile sisi ni watoto wapendwa wa Mfalme!

Huyu mwanamke ni Fisadi mkubwa huyu anayetakiwa kuwa jela na siyo kuwa Ikulu ya nchi kama hii.
 
Haters wanahaha kila uchwao kujaribu hili na lile lakini wapi!!!!

Mama yuko imara, Nchi iko imara. Kama kuangamia basi zinaangamia familia zenu hizo, si nchi hii.
 
NGoja siku moja wakuibie mkeo siku mbili asionekane halafu siku ya tatu akirudi muulize alikuwa wapi halafu asijibu chochote akae kimyaaa tuona kama utamfagilia Kwa busara zilizotukuka na vifungu vya biblia utamwongezea
 
Mkuu nyumba inaangamia kwa magonjwa kwa baba kumpa mgeni choo cha familia, alafu wewe unaleta mambo ya maandiko hapa.

Yaani baba mwenye nyumba anakaa kimya huku watoto wanalalamika wewe unasema ni busara 😢, pole sana aseee!.

Nchi inaondoka hii, wanao watakuja kukuona ni sawa na wale machifu kina Mangungo wa msovelo!.
 
Haters wanahaha kila uchwao kujaribu hili na lile lakini wapi!!!!

Mama yuko imara, Nchi iko imara. Kama kuangamia basi zinaangamia familia zenu hizo, si nchi hii.
Umevimbiwa maboga naona milango yote miwili inatoa gesi
 
Napingana na ww ukimya wake sio wa hovyo bali ni hajui hafanye nini ,akisema kitu anatengeneza maswali mengi kuliko majibu
 
Yaani yeye kuwekwa huko jengo lefu akajaa akajazwa ego akalewa sifa akazilipa kwa kuwapa bandari na msamaha wa Kodi asilimia Mia ,yaani akawaambia kuwa hata tukikosana bandari Ni Mali zenu labda nyie muwe madalali wa kuleta muwekezaji mwingine
 
Uoga unatafisiliwa ni ukimya.

"Nchi hii ina wasomi wajinga sana".

Fikiria mtu anasema eti kinyesi cha ng'ombe kimekuwa sumu na kuua samaki ziwani. Halafu eti ni profesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga ni kuwakalia kimya tu
Dp world karibuni Tanzania
umesoma mkataba kwanza ? umeleewa wakosoaji wanakataa nini ? mkataba sio uwekezaj ELEWA , hakuna anawapinga waarab bali watu wanapinga mkataba sio waarabu ELEWENI , CCMU INAWATUMIA VIBAYA , KUNA HARUFU YA RUSHWA KWENYE HUU MKATABA , SIO JESHI WALA MAHAKAMA WALA BUNGE WALA SERIKALI , KWA NCHI ZA WENZETU HILI SEKE SEKE LINGEPITA NA WENGI NA MKATABA UNGEFUTWA NA KUKAA KIKAO KIPYA NA DP WORLD
 
kwa rais kutoa kauli ya kusema anakaa kimya , kama watz wangekuwa wanajielewa basi alipaswa ajiuzulu maana huez kalia kimya hoja za wananchi ambao ndo maboss zake labda kama anamtumikia mtu mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…